TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefiwa na Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi Leo Mazishi yatafanyika leo Alasiri Mangapwani Zanzibar ambapo watu pamoja na Mwili wa Marehemu wataondoka nyumbani Chukwani Saa Saba na Nusu

Inalillahi waina ilaihi rajiuna

mwinyi.jpg

---

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Hassan Ali Hassan Mwinyi, mtoto wa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi na kaka wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi. Nawapa pole wanafamilia kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu amrehemu Hassan na amjaalie Pepo. Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun.

kifo.PNG
 
Nilifikiri atakuja kuzikiwa mkuranga kwenye makaburi ya babu zake, maana huu ndio ulikuwa utaratibu wa watu wa pwani enzi hizo. Pole kwa wafiwa wote.
RIP Hassan Ally Hassan Mwinyi.
 
Back
Top Bottom