kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wazo pana la mradi mkubwa wa kukuza uchumi kwa Serikali ya Rais Samia: Kagera ijengwe SGR Mwanza to Bukoba

    Utakuwa mradi wa fungua uchumi kanda ya Kagera....wa mizigo ya Uganda, Rwanda, Burundi to Dar es salaam Port by SGR
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Founder Maxence Melo huu nawe ni wakati wako sasa Kugombea Ubunge kwenu Kagera au njoo kwetu Mara tukupe Jimbo utuwakilishe Bungeni

    Na majimbo ambayo ukija Mkoani Mara tutakupa Ugombee ni ya Tarime Mjini, Serengeti na Mwibara kwa Watu waliopinda. Cc: Maxence Melo
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Evance Kamenge atia nia Jimbo la Misenyi, Kagera

    Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) comrade Evance Emmanuel Kamenge amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Missenyi Kagera. Hatua hiyo inaashiria dhamira yake yakuchangia maendeleo kikamilifu kwa wana Missenyi kupitia uwakilishi Bungeni. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT afafanua malipo ya Pensheni za Maveterani wa Vita ya Kagera kuanza Julai 2025

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametoa ufafanuzi kuwa Veterani waliopigana Vita ya Kagera wanatarajiwa kuanza kulipwa Julai 2025 na sio Julai 2026 kama alivyoeleza awali wakati alipokuwa Bungeni, Juni 23 katika Bunge la 12 Mkutano wa 19 na Kikao cha 51...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anitha Bunono ndio tunaimani jipya kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoni Kagera 2025-2030

    ANITA BUNONO NI NANI, Ni mjasiriamali mbobezi katika biashara ndogondogo kwa muda mrefu hapa mkoani Kagera, Msomi aliyebobea katika sekta ya ugavi na mnunuzi kutoka chuo cha CBE cha jiji Dar es Salaam akifanya biashara binafsi na uzoefu wa kutosha katika kuanzisha miradi kwenye mashirika kama...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na fedha, asipokuja nazo nitamuweka ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wahaya wameshindwaje kupaendeleza Kagera wakati wapo kwenye vyeo vya juu vya kupanga namna ya kutumia rasilimali za nchi ?

    Inashangaza !!
  12. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mkoani Kagera wanavyonufaika na uwepo wa wadudu aina senene

    Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa kagera wamekiri kupata fursa kubwa ya kipato kutokana na kufanya biashara ya wadudu aina ya senene. Wakizungumza katika mahojiano maalum na Kcr fm wakazi hao akiwemo Mektrida Leonard wamesema katika msimu wa senene wamekua wakipata...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania JTC yatembelea mto Kagera ambao ni sehemu ya mpaka wa Tanzania na Rwanda

    NGARA Leo tarehe 10 Juni 2025 Kamati ya Pamoja ya Wataalamu ya Uimarishaji Mpaka wa Tanzania na Rwanda (JTC) imetembelea eneo la mto Kagera lililopo wilayani Ngara mkoa wa Kagera ikiwa ni sehemu ya mpaka wa kimataifa. Eneo hilo la mto Kagera lililotembelewa ni sehemu ya mpaka wa kimataifa...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

    Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi. Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
  15. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    Kama mada inavyojieleza Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
  16. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa flem ghorofani magomeni Kagera.

    Habari wakuu. Nyumba ya Zamani inauzwa magomeni Kagera. Ipo karibu na morogoro Road au kituo cha mafuta cha oilcom. Sqm 400 Hati Safi Hakuna mgogoro wa kifamilia au kiserikali. Bei ya nyumba hii ni milion 680 📱0754693556 nipigie nikupeleke.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbe mambo ya uwongo yalikuwa siku nyingi,Kipindi cha vita ya kagera mkuu wa mkoa anasema vita hakuna

    Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana. Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia. Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tembo Nickel yawasilisha rasmi wa ratiba ya ujenzi wa mradi wa Kabanga Nickel-Ngara, Kagera

    Kampuni ya Tembo Nickel Ltd imethibitisha ratiba ya kuanza rasmi ujenzi wa Mgodi wa Kabanga Nickel uliopo wilayani Ngara,Kagera. Hayo yamesemwa leo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Lifezone Metals inayomiliki kampuni ya Tembo Nickel Corporation Limited kwa ubia na Serikali ya Tanzania, Ndg...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Rasmi Timu Ya Kagera Sugar Imeshuka Daraja

    Timu ya Kagera Sugar FC ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja na hatutakuwanayo msimu ujao kwenye ligi kuu kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata leo dhidi ya KenGold FC. Kwa ushindi wa leo, Pamba jiji imefikisha alama 30 kwenye nafasi ya 11, ikifuatiwa na Tanzania Prisons nafasi ya 12...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TK Movement Kagera Yapinga Vikali Upotoshaji Kuhusu Ushiriki wa Wananchi Katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Taasisi ya Taifa Letu, Kesho Yetu (TK) Movement Mkoa Kagera imesema haitakubaliana wala haitamsikiliza mtu yeyote mwenye kuja na kauli za kuwapotosha wananchi kuwa wasishiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2025 Hayo yamejiri katika Kikao cha Wilaya Bukoba DC kilichowakutanisha...
Back
Top Bottom