kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Kagera wahamasishwa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Baraza la Vijana la Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Kagera limewataka Vijana mkoani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba Mwaka huu 2025. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa TLS Kagera, Seth Niyikiza akutwa amekufa nyumbani kwake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake. Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar yamfuta kazi kocha wake Mellis Medo

    Klabu ya Kagera Sugar imefuta kazi kocha wake Mellis Medo baada ya matokeo mabaya ya timu hiyo msimu huu. Kagera imechukua maamuzi hayo baada ya kocha huyo kuongoza timu hiyo kwenye mechi 14 za Ligi Kuu Bara tangu alipotangazwa kuwa kocha wa timu hiyo, Oktoba 17,2024. Medo ambaye alitua Kagera...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Rushwa imetawala ofisi ya kata Nyaruzumbura, wilayani Kyerwa

    Habari za Asubuhi ? Ninatanguliza shukrani kwa jukwaa hili la fichua UOVU. Nimewahi kwenda kupata msaada kwenye ofisi ya mtendaji wakata ya Nyaruzumbura , Wilaya Ya kyerwa, Mkoa Kagera, nilichokutana nacho huko kinatisha sana Rushwa imetawala vyakutosha kuanzia kwa MTENDAJI WA KATA, MTENDAJI...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kujenga uwanja mpya wa ndege Kagera

    Kufatia kuwepo kwa mahitaji makubwa ya uwanja mkubwa wa Ndege, mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia kutoa fedha za ujenzi wa uwanja mpya wa Ndege katika maeneo ya Kyabajwa wilayani Missenyi. Akitoa taarifa hiyo kwenye kikao cha bodi...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Panda Shuka Na Anguko La Kagera Sugar Football Club

    KAGERA SUGAR KUMALIZA NAFASI YA TATU 2017, MSTARI WA KUSHUKA DARAJA SASA NA ANGUKO LA MISIMU SITA NYUMA KAGERA SUGAR FOOTBALL CLUB kuanzia msimu wa mwaka 2018/19 hadi sasa wanashuka, hapa nitakupa Tathmini yao ya MISIMU SITA kuanzia alama zao kisha idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa pamoja...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kagera - Mwassa: Wazazi pambaneni Watoto wenu wasiwe machawa

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa. Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika wakati mchezo kati ya Kagera sugar na Tabora utd ukiendelea!

    Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika! Je, Viwanja hivi havina standby...
  9. princess ariana

    JamiiForums Tanzania Kagera sugar vs Tabora united | NBC Premier League | Kaitaba | 11 Februari, 2025

    Hivi ni mimi tu ndo naangalia yanayoendelea uwanjani mechi ya Kagera vs Tabora united.... 😆😆
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kagera: Makaburi zaidi ya 3600 kuhamishwa ili kupisha ujenzi wa kitega uchumi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo

    Wakuu, Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Deo Ndejembi ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera kuwasilisha ofisini kwake nyaraka inayoonesha ni wapi makaburi yanayopangwa kuhamishwa yanapelekwa. Ndejembi ametoa maagizo hayo alipofika katika maeneo ya Makaburi ya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Makazi ya watu Muleba yanabomolewa wakati kuna kesi Mahakamani, huu ni ukiukwaji wa Haki

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA Dar es Salaam 10, Februari 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimepokea taarifa za ubomoaji na uchomaji wa makazi ya watu katika Kata ya...
  12. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Kagera: huyu Nassoro Mwinchui aache kujiaibisha na uchawa kwa Yanga

    Mwamuzi wa kati Mechi Kati ya Yanga na Kagera sugar Wana supa nkulukumbi anaonyesha waziwazi Kuwa yeye anachezesha Sio Kwa kufuata Sheria 17 za soka Bali mahaba binafsi dhidi ya Yanga na Sitaki kuamini kuwa ni issue ya bahasha toka Kwenye uongozi Bali uchawa wake. Kuna matukio Zaidi ya matano...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kagera: Chuo cha Kilimo cha Igabiro chasema Vyeti vya Wahitimu vimetoka na vinapatikana chuo

    Baada ya Mwananchi ambaye ni Member wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mhitimu wa Igabiro Training Institute of Agriculture Wilayani Muleba kueleza kuwa Wahitimu wa awamu mbili chuoni takribani miaka miwili hawajapata vyeti licha ya kukamilisha taratibu zote, hatimaye vyeti vimetolewa...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa Marburg Tanzania: Serikali yatoa Mwongozo wa Wasafiri wanaoenda na kutoka Mkoani Kagera

    Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia. Kufuatia mlipuko huu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Kilimo cha Igabiro (Kagera) chakiri Wahitimu hawajapata vyeti kwa miaka miwili, chasema ni suala linalohusu mamlaka za Serikali

    Mkuu wa Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture, Sadoki Stephano ameelezea madai ya kuwa kuna changamoto ya Wanafunzi waliohitimu chuoni hapo kutopata vyeti huu ukielekea kuwa mwaka wa pili. Amesema kilichotokea ni suala la kimfumo ndani ya Mamlaka ya Serikali na linashughulikiwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Uchunguzi uliofanywa mpaka sasa haujathibitisha uwepo wa virusi vya ugonjwa wa Marburg katika mkoa wa Kagera

    Wizara ya Afya imepokea tetesi za uwepo wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera. Kufuatia tetesi hizo, Wizara imechukua hatua kadhaa za haraka ikiwemo: kutuma timu ya wataalamu; kufanya uchunguzi wa suala hili; kuchukua sampuli na kufanya vipimo vya maabara. Mpaka leo, tarehe 15 Januari...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya asema Hospitali Maalum ya Magonjwa ya Mlipuko kujengwa Kagera

    Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo. Akizungumza Mkoani Kagera wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  18. albab

    JamiiForums Tanzania Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Kwa mara ya kwanza nafika nilifurahia mazingira mazuri, ukijani mwingi na Hali ya hewa tulivu kabisaaa ikiambatana na mvua hasa nyakati za asubuhi. Baadhi ya Maeneo yana muonekano mzuri wa ziwa hivyo kufanya Mkoa huu kuwa kuwa na view nzuri hasa Kwa wageni. Kwa kuwa ni mzee wa Fursa Cha kwanza...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 45.6 kutumika kukamilisha Miradi ya Dharura Mkoani Kagera

    Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia kupitia mpango dharura ( CERC PROJECTS), imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 45.6 kutekeleza miradi mitano (5). Miradi hiyo ni pamoja na Daraja la Kyanyabasa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania IjukaOmuka: Fatma Mwassa, asante kwa kuwakumbusha wana Kagera wakumbuke nyumbani, lakini ukurasa wa instagram wa mkoa hauna post tangu January 2024

    Nadhani Gerson Msigwa aanze kupima utendaji wa sektretariat za habari kwa kuangalia social media engagement. Na wakifanya hivyo, Makao Makuu ya Idara ya Habari (Maelezo) iwe inapewa taarifa Imagine. Ukurasa rasmi wa ofisi ya mkuu wa mkoa (Instagram page) hauna habari yoyote iliyowekwa tangu...
Back
Top Bottom