kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo tweets za Mo Dewji kabla ya kuzifuta, inaonekana kuna tatizo Simba!

    Mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa Simba Sc usiku kupitia akaunti yake ya twitter alipost tweet hizi kisha akazifuta ndani ya muda mfupi. Je kwa tweets hizi, kuna amani kweli huko Simba?
  2. JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kuitumia ardhi yetu itukomboe tofauti na ma settler katika kilimo kabla ya uhuru

    Tanganyika ilikuwa eneo la kilimo katika utawala wa Uingereza. Walitangaza uwekezaji katika kilimo na waliopenda kuwekeza iliwapasa kuonyonyesha uwezo wao wa kuiendeleza ardhi kabla ya kupatiwa eneo. Baada ya kuonyesha hati ulipewa miaka mitano uwonyeshe uwekezaji wa kudumu uluoufanya kabla ya...
  3. JamiiForums Tanzania Shetani alikuwepo duniani kabla ya kuumbwa binadamu

    Habarini wakuu. E bwana kuna kitu nimekifuma mahali nimeona nikilete mezani najua tutajuzana mengi. Ni hivi kuna dhana kuwa,shetani alikuwepo duniani kabla binadamu hajaumbwa. Kivipi,baada ya ile vita kuu mbinguni kutokea ,na shetani akashindwa ,alitupwa duniani ambapo kulikua ukiwa na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tutazame goverment school za Kenya kwanza. Tulinganishe na zetu kabla hatujajadili ubora wa elimu yetu

    Habari wadau. Video ya wanafunzi wa shule ya serikali Kenya waki have fun kucheza wimbo wa jerusalem Binafsi nimeitizama sijavutiwa na style za kucheza. Bali mazingira ya shule yenyewe kuanzia madarasa, church la shule, viwanja vya michezo etc etc. Ni shule ya serikali kama ilivyo mzumbe...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kabla ya kugunduliwa kwa ma- ‘speaker’ makubwa yenye mshindo, makanisa ya kilokole yalijiendeshaje?

    Yaani walikuwa wanaendeshaje endeshaje shughuli zao za ibada? Kwamba wanaemuabudu alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia au ilianzaje anzaje hii hali?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu Muhimu kabla hatujamsahau Hayati Dkt. Magufuli

    Katika Nchi ambayo Viongozi wanajipimia kama hii Tanzania ya Sasa tunahitaji vitu vitatu :- 1. Katiba Mpya ,tunahitaji katiba inayong'ata ili viongozi na wananchi waheshimu madaraka. 2. Chama kimoja (ingawa linaendana na katiba),Tanzania bado ni nchi changa kuwa na mfumo wa vyama vingi hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Waachana siku tatu kabla ya ndoa

    Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo...
  8. JamiiForums Tanzania Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla Ndugai hajakiri au kutamka hadharani kuwa Katiba ya nchi ni mbovu

    Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa umejichimbia zaidi. Hivyo, bwana Ndugai akaona hana ubavu wa kupingana nae akaamu kujiuzulu. Kwahiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Bucket list: Mambo ambayo unatamani kufanya kabla ya kufa

    Wasalaam. Nimetafakari tu ufupi wa maisha yetu sisi wanadamu. Walakini, bado yapo mambo ambayo nafsi yangu ingetamani kuyafanya au yatimie mnamo au kablya ya umauti. Mambo hayo ni: 1. Kuwa na mapatano na muumba wangu; 2. Kutembelea mabara yote hapa duniani; 3. Kuacha legacy nzuri na mali kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

    Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa. Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
  12. JamiiForums Tanzania Covid 19 (Wabunge Kharamu) ni wakati sasa wa Kumkana Ndugai mara 3. Kabla Jogoo hajawika. Achaneni naye kwa sasa siyo Deal tena

    Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa huku hamjarusha hata jiwe moja mtaonekana mlikuwa nyuma yake. Lazima muwe wajanja kama nyoka. Kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kampa nafasi mwanachama na mjumbe mwenzake kama anatosha kuendelea na kuamua kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumiwa

    Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008) Kwa mamlaka yake...
  14. JamiiForums Tanzania ILINICHUKUA MIAKA MIWILI NA AJALI YA MTOTO 1 KUWA MZOEFU WA NJIA YA KUCHOMOA KABLA KUMWAGA

    Ni njia inayotumika kuzuia mimba, unapokaribia kumwaga unaichomoa umwage nje. mtoto wangu wa kwanza ndie alikuwa gharama ya kujifunzia hii njia nikiwa bado hata sijamuoa mama yake ambae ilinibidi nimuoe baada ya kumpa mimba.
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kaskazini watoka kifungoni; Moshi na Arusha zarejea kwenye hadhi tuliyozoea kabla ya 2016. Watu wanashangweka ile ile!

    Baada ya akina Gambo, Sabaya, Mneti, Muro, na viongozi wengine kutowesha amani na furaha ya Xmas Kaskazini kwa kisingizio cha kulinda amani na kuepusha vurugu hatimaye mwaka huu tunaona Ndugu zetu kwa mara nyingine wakirejea makwao Kwa furaha huku biashara zikipamba moto. Ni kama wamepata Uhuru...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wanaoamini ukimpinga unastahili kuuawa wanaongezeka, tupambane nao kwa sala kabla hatujaingiwa na roho kama zao

    Tumeendelea kuwa na viongozi wengi ambao wao wakiona unakinzana na maoni au maslahi Yao wapo tayari kutumia mbinu zozote aidha wakuondoe au wakufanye unyamaze. Wao kwao siyo Kila uhai ni wa thamani, uhai kwao ni wa watoto wake, mke au Mme, wazazi na ndugu damu. Hawa watu wanaongezeka Kwa Kasi...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyo mjibu leo tarehe 24/12/2021 siku moja kabla ya christmas

    Wanazoea vibaya sana mamaeeeee mtu hatujawasiliana toka mwezi wa sita leo from no where, goooooog daamnnnnnn, bora nibaki singo kuliko hawa kupe
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…