kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini ng’ombe wasipigwe nusu kaputi kabla ya kuchinjwa?

    Hivi what if mtu ukifa unazaliwa tena kiumbe kingine, mfano unazaliwa ng’ombe? Incase ni hivyo, si ingependeza kama kabla ya kuchinjwa upigwe kwanza nusu kaputi, au nakosea?
  2. SoC02 Linda Afya yako kabla ya kupata magonjwa

    Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya vizuri ndio mtu anaitwa mgonjwa. Chanzo cha afya ni vyakula mbalimbali na kutengeneza kinga za mwili...
  3. E

    SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  4. Nini kinaendelea kwa Makalani wa Moshi vijijini siku 8 kabla ya zoezi la sensa kufanyia? Kamishina wa Sensa Taifa Anna Makinda uje fasta

    Sijui kinachosemwa ni kweli au la? Kwanza tangu zoezi lianze liligubikwa na malalamiko mengi sana Mfano Makalani waliokuwa wakifunzwa walilalamikia kupikiwa chakula kibichi uku wakikatwa shilingi elf 5000 Kila siku kwa ajili ya kununua chakula aliyekuwa anapika wanafunzi walipo lalamika...
  5. Shaka aagiza DCs & DEDs wote wahakikishe mkandarasi analipa madeni yote kwa watoa huduma kabla ya kumtumbua

    Chama kinachotetea masilahi ya wanyonge wote bila kujali itikadi zao za kisiasa na kidini cha Mapinduzi kimewataka wakuu wote wa Mikoa, Wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kuhakikisha wanalinda maslahi ya wananchi wanaofanyakazi na wakandarasi kama watoa huduma. Kauli hiyo...
  6. K

    Naweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva?

    Kwema wakuu Je, ninaweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva? Ili nipeleke sokoni zisiharibike, na zinachukua muda gani hadi kuiva zikiwa nje, ningependa kujua jinsi ya kuhifadhi.
  7. Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
  8. Kenya2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
  9. M

    SoC02 Kalamu na karatasi ni nyenzo za msingi kabla ya kuanza mapambano

    Sisi Kama WATANZANIA au wanadamu Kila mmoja anashughuli ambayo anaifanya ili kumuingizia kipato Cha Kila siku ambacho kitamsaidia kukidhi mahitaji yake binafsi na familia yake kwa ujumla. Na Kama siyo hivyo basi ipo shughuli ambayo Kila mmoja wetu anaamini akishiriki kikamilifu katika shughuli...
  10. Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Habari wanajukwaa hili la biashara! Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
  11. Waziri Ummy nashauri ukae na wataalamu wa afya kabla ya tamko la bei ya huduma za afya

    Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive. Nikijikita katika mada, Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
  12. kabla hujaicheka Yanga pitia hapa kwanza

    mnasahau mapema mnoo
  13. Rais Samia: Madarasa 8000+ ya Sekondari kujengwa kabla ya 2023

    Akiendelea na ziara mkoani Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, pamoja na Wakuu wa Wilaya kuanza kujipanga kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya 8,000 kwa ajili ya shule za Sekondari ambayo yatahitajika...
  14. Syria, Uturuki zilikuwa Christian Countries kabla ya Uislamu

    Kabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries. Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority. Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing...
  15. C

    SoC02 Tutoe elimu ya kupinga mbwa kabla hawajawa wengi

    MAANA YA MBWA KIBIBLIA. Katika maandiko matakatifu neno Mbwa limetumika likiwa na maana mbalimbali, kama Mbwa mmnyama(marko 7;28) na Mbwa binadamu (ufunuo 22:15) na kadhalika. Neno la mungu linatuambia tujihadhari na mbwa! Wafilipi 3:2 . Je Mbwa ni watu gani kwa mujibu wa maandiko...
  16. G

    Lake oil wanajuaje kupanda kwa bei ya mafuta kabla haijatangazwa?

    Imekuwa ni kawaida kila inapokaribia wiki ambayo bei mpya ya mafuta hutangazwa, vituo pendwa vinavyomilikiwa na wanasiasa maarufu, hudai hawana mafuta kungojea bei mpya. Hii huwa ni dalili ya kupanda kwa bei ya mafuta. Swali la kujiuliza wanajuaje mapema kuwa mafuta yatapanda bei? Huu mtandao...
  17. Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

    Wananchi wameketa jezi mpya zenye viwango vya dunia hakika Rais wetu anafanya kazi kubwa sana.
  18. Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  19. Ni wakati wa Kenyatta kupewa semina kabla ya kukutana na mama.

    Huwezi kukutana na mama Samia,rais wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa nchi na serlikali halafu unajiaachia tu ,unakaa Kama unasubiri githeri maeneo ya Kayore. Ebu angalia utulivu wa mama halafu linganisha na ule wa Uhuru Uhuru next time jitahidi brother.
  20. Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…