kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu hapa Muziki wa zamani kabisa uliowahi kurekodiwa hapa duniani; ulipigwa mwaka 1440 Kabla ya Yesu kuzaliwa

  2. JamiiForums Tanzania Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

    Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa...
  3. JamiiForums Tanzania Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

    Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki. Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road. Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Watangazaji maarufu enzi hizo Radio Tanzania kabla ya TBC

    David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago...
  5. JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha ni Mwalimu bora kwa kizazi hiki kisicho na usikivu, kabla ya kukubali au kukataa tafuta kumjua na kuujua ukweli kwanza

    Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua 1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kununua nyumba au kiwanja cha mirathi documents gani za msingi za kujiridhisha kabla ya kununua

    Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa Kama mnunuaji wa nyumba/kiwanja Cha mirathi hiyo. Nimetanguliza swali hili kutokana na story yangu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    Hii kasi ya uongozi wa CHADEMA kupongeza na kuunga mkono uongozi wa Mama tangu Taifa hadi huku mashinani, ipo kimkakati sana. Inavyoonekana kuna namna CHADEMA wamevutiwa sana na utendaji wa Mama kwa hivyo wameona hakuna sababu ya kulumbana naye isipokuwa kumuunga mkono. CHADEMA ninayoifahamu...
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba niliyokuwa naisifia, leo nimeletewa jipya

    Hii nyumba nilijiona ni kama nina bahati ya kupangisha hapo maana toka nihamie huu ni mwezi wa tatu lakini sijawahi nunua umeme na kodi nimelipa tu ule mwezi wa 2 nyuma sikulipa lakini kwa habari nilizozipata. Nitawaletea mrejesho nikisha fanikiwa kuhama maana nasikia ukishapangisha hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Faida za kufanya mapenzi na mwenza wako kabla ya ndoa

    Ewe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali. Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe...
  10. JamiiForums Tanzania Ameniambia tufunge ndoa kabla ya Ramadhani

    Habarini Nimeishi na uyu bint sasa ni miaka 3 . Amekomalia sana ndoa ramadhani hii kasema lazima tufunge ndo Wote sisi ni waislam Mimi mfukoni apa nna laki 3 tu. Wazazi wetu wako mbali na sisi yeye anasema inawezekana bila ya ndugu na ndoa inakuwa safi. Wataalamu, ma sheikh ushauri wenu
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kukagua gari used Tanzania kabla sijanunua

    Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa. Naomba msaada vitu vya kukagua kwenye gari kujua kama nzima au nabambikwa, pia kama imewahi pata ajali au la...
  12. JamiiForums Tanzania Simba yadai Jezi zitawasili kabla ya Mechi ya Raja

    Ofisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kabla ya Februari 18, 2023 mzigo wa jezi mpya utakuwa umefika Tanzania ukitokea Ethiopia ambako umekwama. Akizungumza leo Februari 15, 2023 Ahmed Ally amesema jezi hilo zilianza kukwama nchini China hivyo zilifanyika juhudi za...
  13. JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Precision lisimamishwe haraka kuruka anga la Tanzania kabla ya madhara makubwa kutokea

    Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu. Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya. Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Leo kabla ya kujadili siasa kila mmoja ahakiki namba yake kwa kupiga *106#

    Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023. Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada. Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa. #HakikiLainaYako #2023kidijitalizaidi
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Mti umekauka, wananchi waomba wahusika waukate kabla haujaleta Madhara makubwa

    Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles). Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Je, huwa unasoma lebo ya bidhaa ukiinunua kabla hujaitumia?

    Unakuta mtu amenunua kitu dukani, let's say juice, anaifungua, anainywa, bila hata kuangalia namna ya matumizi au expiry date. Kwa ufupi Watanzania wengi Hatuna utamaduni wa kusoma lebo za bidhaa tunazonunua iwe vyakula au vipodozi... Lengo la lebo ya bidhaa ni kukupa taarifa zifuatazo. 1...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kupata ujauzito akiwa ananyonyesha, kabla hajaona hedhi yake ya kwanza

    Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi. Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi. Hata hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Kabla sijamuoa nilikuwa sipangiwi tendo ila kumuoa tu napangiwa

    Ukisema nikimbilie huku kosa ili mradi tu, yani wanawake ni viumbe vya ajabu sana. Kipindi sijamuoa mda wowote na wakati wowote napewa ili mradi asiwe kwenye siku zake.kaka shetani nikaona mda wa kuoa ndio wenyewe nifaidi kabisa wakijua kwao. Kosa likaanza hapo, nilipoingiza ndani tu na mimba...
  19. JamiiForums Tanzania Ombi: Tunamuomba Rais Mwinyi amuwajibishe waziri wake kabla ya wananchi kumuwajibisha

    Kitendo alichokifanya waziri wako wa kilimo, umwagiliaji, maliasili na mifugo mh Shamata Shaame Khamis sio cha kiungwana na kiutu. Kile ni kitendo cha kinyama ambacho hakutakiwa kumfanyia mtanzania mwenzetu au binadamu mwenzetu kwa sababu yoyote ile. Mtu kaingiza chakula mnafanyia unyama ule...
  20. JamiiForums Tanzania Muda wa kusubiri kabla ya kutuma ujumbe mwingine, unaghadhibisha. JF ifanyieni kazi

    Wasalaam Wakuu. Umewahi kufanya mawasiliano na Mtu (PM) au kwenye uzi wa kawaida kisha ukishaandika na kutuma inakupasa usubiri ndani ya muda fulani? Nawapongeza uongozi na watumishi wote wa JF kwa kazi nzuri na ngumu wanayoifanya. Kwa hakika wanajitahidi mno. Lakini pamoja na hilo, kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…