kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wakipindua nchi ndani ya Afrika wanaitwa"madikiteta" kabla ya kupindua wanaitwa"walinzi"wa nchi na watiifu?

    Huu ni ujinga kama wanajeshi ndiyo walinzi wa viongozi wa kisiasa na mipaka ya nchi muda wote ndani ya Afrika na wanaaminiwa kwanini wasiachiwe nchi za Kiafrika waziongoze kijeshi? Wanasiasa ni mzigo na gharama hivyo wanajeshi eakichukua nchi za Afrika baadhi ya wanasiasa wataondoka wenyewe
  2. JamiiForums Tanzania Ezi za Lucky Dube

  3. C

    JamiiForums Tanzania Lissu alipaswa kudhibitiwa kabla hajashinda Uenyekiti CHADEMA au figisu zilishindikana?

    Huyu Mwamba alipaswa kutopewa nafasi ya kushinda Uenyekiti CHADEMA. Ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Kichwa kibovu kile kitaleta amsha amsha kuelekea uchaguzi ambayo Sisi Mbogamboga hatuitakagi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ni Suala la Muda tu Kabla Mshamba Flani Hajatema au Kutemeshwa Bungo!

    Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji. Kheri ya Karume Day!
  5. JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi afukuzwa kazi Coastal siku moja kabla haijakutana na Yanga

    GSM mungu anakuona Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga. Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You Return to sender Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla kumalizana na Hamas na Hizbullah, kwa Israel kuingia Syria na kuichoza Uturuki ndio kupagawa kwenyewe huko na kujitumbukiza shimoni.

    Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda. Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba wamejiamini kuendelea kushambulia maeneo ya Syria kwa visingizio na bila kizuizi.Karibuni kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiangalia usajili namba zingine zilizosajiliwa kwa NIDA taarifa zinazokuja si za kweli, HALOTEL wafanyie kazi jambo hili kabla halijaleta mtafaruku

    Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu, ndipo niliposhtuka kuona kuna namba nyingi ikiwemo ya airtel, ambayo baada ya kujaribu kumpigia...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujaanza kutumia smartphone ndani ya mablanketi, Miaka ya 90s na 2000s nyumba zilikuwa na chumba special kwajili ya computer (computer room)

    Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini Lissu hajaanza kuwasikiliza watia nia wa ubunge na udiwani kabla ya yeye kuanza kuongea? Ni udikteta?

    Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu. Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa kidikteta.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Awalalamikia TRA kuwa kuna watu walikuwa na mitihani kabla ya interview, kaweka maswali yaliyotoka na majibu yake

    Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani. kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake, ikumbukwe watahiniwa hawakuruhusiwa kuondoka na karatasi la maswali. Comment ipo kwenye chapisho...
  11. JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka tuwaokoe hawa watoto kabla ya kutokea maafa

    Hii ni hatari sana kwa watoto wetu, hasa kipindi hiki cha mvua. Hapa ni maeneo ya Banana - Ukonga. Chukueni hatua mapema.
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu, hakikisha unakatesti kwanza haka kabomba kabla hujakatumia,utanishukuru

    Zingatia hilo. We katest tu hata kwa kukapiga ukutani ndipo uendelee na mazingira. Nawatakia maandalizi mema ya Eid al-Fitr-2025. Wakaka na Wababa msisahau kuwanunulia dada zetu na mama zetu Abaya. Asante Sledi tayari.
  13. JamiiForums Tanzania Fanya sasa kabla hujachelewa na kujuta milele

    Ukweli Mchungu wa maisha maisha yetu Baada ya kuzaa, nge mama huwabeba watoto wake mgongoni ili kuwalinda. Wakati huu, yeye hali na hutumia nguvu zake zote kuwaweka salama watoto wake, Kadiri siku zinavyosonga, anazidi kuwa dhaifu, akitumia kila alichonacho kuhakikisha watoto wake wanaishi...
  14. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  15. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  16. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  17. JamiiForums Tanzania Matatizo/Mambo 7 Ya Kukagua kwenye Simu Used Kutoka Dubai , Uk , USA Kabla ya Kununua Kwenye Maduka ya Kariakoo.

    #Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao. Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki. Nimekuwa kwenye soko la...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na chama chochote cha upinzani wekeni nguvu kubwa Vijijini kabla na baada ya Uchaguzi, mijini hakuna shida mna karata

    Wasalaam Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Kuna taarifa, kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa uhakiki ni wa siku mbili

    Wakuu jf amani ya Mungu ikawe juu yenu, nawatakia mema katika mfungo wa ramadhani/ kwaresma kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada Tajwa hapo juu. Tangu jana zimekuepo taarifa ,kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa huakiki ni wa siku mbili ,namanisha jana tarehe 20 to...
  20. JamiiForums Tanzania Je Unataka Kumwacha Mke/Mume Wako Na Kumpa/Kudai Talaka Yako?

    Bila kujalisha dini yako inakuruhusu kufanya haya au haikuruhusu, nipe dakika chache nikushauri jambo ambalo ukilifanya hatakaa akusahau katika maisha yake yote. Kama jibu ni ndio unataka kufanya hayo, Fanya mambo haya sita(6) ya kumuumiza moyo wake asije akakusahau maisha yake yote? 1. Fanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…