Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.
Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya
1. Kuhamasisha uasi
2. Kuzuia uchaguzi
3. Kukinukisha.
Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri kutengeneza kesi ya maana. Sanasana inaenda kumdhalilisha SSH, Polisi, Mwendesha Mashitaka na dola...
Members nawasalimu,
Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ?
Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache sio zote na kuna kijana nimemuweka hapo,hivyo natakiwa awamu hii nimalizie wiring sehemu zote ili...
Huu ni ujinga kama wanajeshi ndiyo walinzi wa viongozi wa kisiasa na mipaka ya nchi muda wote ndani ya Afrika na wanaaminiwa kwanini wasiachiwe nchi za Kiafrika waziongoze kijeshi?
Wanasiasa ni mzigo na gharama hivyo wanajeshi eakichukua nchi za Afrika baadhi ya wanasiasa wataondoka wenyewe
Huyu Mwamba alipaswa kutopewa nafasi ya kushinda Uenyekiti CHADEMA. Ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Kichwa kibovu kile kitaleta amsha amsha kuelekea uchaguzi ambayo Sisi Mbogamboga hatuitakagi.
Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji.
Kheri ya Karume Day!
GSM mungu anakuona
Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM
Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga.
Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You
Return to sender
Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda.
Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba wamejiamini kuendelea kushambulia maeneo ya Syria kwa visingizio na bila kizuizi.Karibuni kabisa...
Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu, ndipo niliposhtuka kuona kuna namba nyingi ikiwemo ya airtel, ambayo baada ya kujaribu kumpigia...
Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer
Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu.
Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa kidikteta.
Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani.
kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake, ikumbukwe watahiniwa hawakuruhusiwa kuondoka na karatasi la maswali.
Comment ipo kwenye chapisho...
Zingatia hilo. We katest tu hata kwa kukapiga ukutani ndipo uendelee na mazingira.
Nawatakia maandalizi mema ya Eid al-Fitr-2025.
Wakaka na Wababa msisahau kuwanunulia dada zetu na mama zetu Abaya.
Asante
Sledi tayari.
Ukweli Mchungu wa maisha maisha yetu
Baada ya kuzaa, nge mama huwabeba watoto wake mgongoni ili kuwalinda. Wakati huu, yeye hali na hutumia nguvu zake zote kuwaweka salama watoto wake, Kadiri siku zinavyosonga, anazidi kuwa dhaifu, akitumia kila alichonacho kuhakikisha watoto wake wanaishi...
Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
#Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao.
Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki.
Nimekuwa kwenye soko la...
dubai
kabla
kariakoo
kukagua
kununua
kutoka
maduka
mambomuhimuyakuzinagatiakwenyesimu
matatizoyasimuusedkutokadubai
simu
simu used
simuzauborakariakoo
usa
used
wauzalaptopborakariakoo
wauzasimuborakariakoo
Wasalaam
Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini
Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini
Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.