kaa

Kaa is a fictional character from The Jungle Book stories written by Rudyard Kipling. He is a giant snake.
In the books, Kaa is an ally of main protagonist Mowgli, acting as a friend and trusted mentor figure alongside Bagheera and Baloo. However, screen adaptations of The Jungle Book usually portray him as a secondary antagonist who attempts to eat Mowgli.

View More On Wikipedia.org
  1. Muujiza wa Mtakatifu Francis Xavier na Kaa wa Msalaba

    Hadithi ya Mtakatifu Francis Xavier na Kaa Mnamo mwaka 1546, Mtakatifu Francis Xavier alikuwa akisafiri kwa njia ya bahari kuelekea Malacca (katika Malaysia ya leo). Safari iliyoanza kwa utulivu ilibadilika ghafla na kuwa ya kutisha. Mawingu meusi yalitanda, upepo ukavuma kwa nguvu, na mawimbi...
  2. Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

    Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu! Hii ni misemo ya wahenga, Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa! Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
  3. R

    PostGE2025 Msigwa: Anayekutuma ushiriki uvunjifu wa amani anakupoteza, kaa nyumbani tafakari

    "Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida...
  4. T

    Kama umeolewa/umeoa Askari na unajua alishiriki kwenye mauaji, kaa mbali nae, atakuja kukuua

    Tahadhari kabla ya hatari Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au kwa watoto wako. Chukua tahadhari kabla ya hatari
  5. Askofu Gwajima kaa kimasta, usijitokeze kabisa

    Walahi miye sijui hehee. Gwajima nilipokea shukrani zako miye sina baya wanijua. Walahi usingehama pale wangekukula kichwa. Leo nimepita mule Tengeru mayii wanahaha. Wapagawa vile vibaya. Kesho tuwe Babati bro. Wajua nafulahi mini. Kesho desemba. Nye nye nye poti wakagua id Kila road. Usitoke...
  6. Mfanyabiashara au Mwekezaji unaejielewa achana na siasa, kaa jifunze playbook ya uwekezaji na biashara anayotumia Rostam A. He's the best dealmaker

    Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making' Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz. Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
  7. GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Miongoni mwa atakayozungumza: 1. Biashara za Rostam Aziz 2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam 3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki 4. Wezi wanakoficha pesa 5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini 6...
  8. R

    Padre: Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya

    Wakuu, Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani". Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
  9. M

    Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali

    Imeshakuwa kawaida sana kuona status za wanawake wa kilokole wakimweka mhungaji wao na kumuandika "DADDY" yani BABA YANGU. Wachungaji wa kilokole ni hawa wanaosifika kwa miujiza ya Gesi, Keki za Upako, kufufa maiti, n.k. ukishaona mwanamke wako kakamatwa masikio na aina hii ya wachungaji...
  10. M

    Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  11. Byabato hauwezi kushindana na Rais, kaa chini ujitafakari !.

    Huyu Ndugu Byabato , anavyosema anaweka Mbunge anayemtaka anakuwa anamaanisha nini? Je ikiwa yeye hakuwa Mgombea alipata kiburi wapi cha kusema Mimi "Naweka Mbunge ninayemtaka" Naomba Ccm Kagera na Ccm TAIFA wafatilie hili Swala .
  12. Hakimi anusurika kwa mara nyingine...women, slay queens, Kaa nao mbali, trust you MOTHER.

    Ashraf Hakimi , mchezaji wa timu ya PSG ya Ufaransa, unaweza kusema ni Mungu anampenda, pia maombi ya mama yake yanamsaidia. Kwa mara nyingine mwamba amenusurika kufanyiwa umafia na mpenzi wake mpya baada ya chat za mwanamke huyo alizokua anachat na group lake la wadada wanaowafanyia uhalifu...
  13. Mwanasiasa ukifeli siasa kaa kwa utulivu

    Utangulizi Katika historia ya siasa, kuna dhana hatarishi inayojitokeza mara kwa mara miongoni mwa baadhi ya wanasiasa, dhana ya kutafuta huruma ya wananchi kama njia ya kuficha udhaifu wao wa kisiasa. Wanasiasa hawa, baada ya kushindwa ama kwa kukataliwa kwenye sanduku la kura, au kwa kuonekana...
  14. Nakushauri Nguto kaa kimya ya derby yatajisema yenyewe June 15. Sindano ilipoingilia ndipo itakapotokea relax

    Shalom Mzee Nguto Popote ulipo Sina mengi niimeona mitandao mengi ikikuongelea kuhusu derby Ushauri tu mzeee umeshakaa na wenzio ukataja tar ya mechi Kaa utulie hivyohivyooo kama vile usikii sondanoo yoyotee Yaan sindano ilipoingilia ndipo itakapotokeaaaaa Mwenzio karia kashutama anawaza na...
  15. Ukiona umekaa sana, kaa vizuri

    #Porojozabongo "Ukiona umekaa sana, kaa vizuri." "Unajua maana ya hiyo sentensi?" Bongo anazungumza "Mmh, ni kukaa kwenye benchi, au?" akauliza mgogo asiye na mgogoro "Hapana, hiyo ni ya maisha. Ukiona umekaa sana—yaani maisha yako hayatembei, kila kitu kimesimama—basi kaa vizuri, kwa maana...
  16. Haji Manara nakuonya Kaa Kimya na usishindane na Mwanamke, kwani Bibie sasa anataka kupiga Bomu lako la mwisho ambalo litakumaliza na kukuumiza mno tu

    Bibie sasa anataka kuweka Hadharani Jambo lako na yule Tajiri wa Dubai (sasa Marehemu) na Tajiri wako wa sasa Dar es Salaam. Haji Manara kwa bahati mbaya Wanahabari wengi (hasa wa Michezo) wanajua hilo tatizo lako na nakumbuka hata baadhi wa Watu wa Simba SC walitaka Kukupiga nalo likumalize...
  17. M

    Nakukumbusha tena kaa mbali na mtu Kigeugeu

    Huyu mtu ni hatari sana atakuingiza kwenye matatizo kibao na kuna muda hutojua kama ni yeye kwa sababu mkiwa naye anaongea hivi ila mkiachana tu anaongea mengine. Mtu kigeugeu mtakubaliana jambo fulani kwa pamoja ila likigeuka likawa na matokeo tofauti na matarajio tayari anakugeuka unaonekana...
  18. Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu

    Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)
  19. Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

    KWA KIZAZI CHA SASA. UKISHAKUWA SINGLE MOTHER TAFUTA TUU PESA. HAKUNA MWANAUME ATAKAYEHITAJI SINGLE MOTHER MASKINI ASIYE NA KAZI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mambo ya ûkipenda Boga penda na ua lake ni Misemo ya kipigaji waliopigwa Wazee wa Miaka ya Uhuru Huko. Mambo mengi...
  20. Lissu Kaa pembeni waachie chama chao.

    Kwa Sasa inavyoonekana hapo CHADEMA ni kwamba chama ni Mali ya mtu. Na yeyoyote atakaye taka kuwa mwenyekiti wa chama nje ya Mbowe lazima apopolewe mawe na kuitwa majina yote. Kwamba CHADEMA kipo kwaajili ya watu Fulani tu na wengine hawaruhiisiwi kushika uenyekiti. Namshauri Kamanda Lissu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…