jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Naliomba kwa unyenyekevu JWTZ wamlinde Mzee Butiku na Mzee Warioba

    Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank. Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS. Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa. Amewahi Ongea Mzee...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania JWTZ Yapata kazi ya kujenga madaraja Afrika ya Kati

    Pongezi nyingi kwao. Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati. ============== Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la...
  3. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yanayoendelea, inawezekanan JWTZ wametulia tu?

    Habari wakuu. Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi. Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila kujifunza na kuchukua hatua ya kuboresha vifaa vita, mikakati na mbinu?? Kuanzia vita ya Urusi na...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumbe KIKATIBA , baadhi ya Kazi za JWTZ ni Kulinda Katiba, Kulinda Ardhi na Maliasili za Nchi yetu, Kulinda Watu wa Tanzania!!

    Hapa Nina Maswali !! Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?. Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .?? Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

    Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya. Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

    Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo. Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa. Hakuwaacha hapo tu, kawaambia...
  8. X-Agent

    JamiiForums Tanzania NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania JWTZ wafanye uchunguzi kubaini vijana ambao wamepewa nafasi za kujiunga na JWTZ kwa kutumia kikaratasi maarufu kama "Memo"

    Juzijuzi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilitoa taarifa kwamba wanapitia majina ya vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na jeshi hilo. Itakumbukwa kuwa mwezi April mwaka huu JWTZ walitoa tangazo la ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu. Moja ya...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania JWTZ wasiingilie Siasa zetu. Ni kweli, Nchi inawayawaya kama machela

    JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono. Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni; Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ulinzi wa...
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    Habari TRA ! Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini? "MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX" Karibu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mama, hata wewe usilazimishe vyombo vya dola vifanye mengine kama inavyotokea katika mataifa mengine

    Mama, kama ulivyotushauri sisi wananchi, na mimi huo ndio ushauri wangu kwako kwani huwezi jua wanayapokeaje haya yanayoendelea hapa nchini.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza sana JWTZ, japo ninasikitika pia kuwa mmechelewa mno Kulishtukia

    Na nimefurahi zaidi mliposema kuwa mmeshawabaini hao Viongozi Serikalini wanaofanya hii DHAMBI KUU YA KIKATIBA YA USALAMA WA TAIFA LETU na nawaomba muanze na Watatu wenye hii tabia mmoja anatokea Singida, mwingine Dodoma, mwingine Kagera na mwingine Pwani bila ya kumsahau na yule Mzoefu ambaye...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar. Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Rais Samia akutane na wadau kujadili Uchaguzi Huru 2025

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema; "Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni vyema tukayarejea maneno muhimu tulioyatoa katika Baraza la Eid lililopita Machi 31, 2025 ya kwamba...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Ambana Mkandarasi Barabara Kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ)

    ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ). Amtaka akabidhi barabara ifikapo Disemba mwaka huu Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ulega ambana Mkandarasi barabara kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ), amtaka akabidhi barabara Disemba 2025

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi-TPDF) yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Disemba, 2025. Ulega ametoa maelekezo hayo...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

    Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho. Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya polisi wanahusika na Utekaji wa raia nchini?

    Usione watekaji ni wa chama pinzani wanaotekeleza mipango fichu ili kuipaka serikali matope na wanaitekeleza kwa siri kubwa kiasi ya kuwa hakuna ushahidi. Sasa serikali inakuwa ngumu kuwakamata kiushahidi . Ila hawa G55 inawezekana wanawanalolijua ngojea kampeni huwenda kuna mambo yakajiri...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    Habari ze wanaJF, Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa. Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
Back
Top Bottom