juma

  1. M

    SIKUMBUKI NI LINI TIMU YOYOTE IKIFUNDISHWA NA JUMA MGUNDA ILIWAI KUMFUNGA SIMBA!

    Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo! Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
  2. Jay Combat ndie mrithi wa Juma Mpogo au tusubiri mwingine?

    Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat. Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga. Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo lake alijawai kuzibwa. Walikuwa wengi kabla ya General Mpogo na wakaja wengi baada yake ila bado...
  3. M

    Mzee Juma katueleza kisa alivyotapeliwa na wanawake huko Facebook

    Hapa hua tunakutana kwenye tangawizi na kahawa Mzee juma kafika na kanzu yake swafi na baraghashia yake kama kawaida, Mzee juma siku hizi ana simu ya kupangusa vidole hivo anakua busy kwenye simu , sio kama zamani alipokua anatumia kitochi, Hussein anamuuliza kiutani mzee J naona unaperuzi...
  4. Isemavyo Sheria ya Mali za Ndoa na Kesi ya Kifo cha Juma Mfaume dhidi ya Wafanyakazi wa OYA Microcredit

    Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
  5. Juma Said Mfaume: Je, tumpe Tuzo ya Man of The Year!?

    Habari wadau je jukwaa la wanaume na wanawake tumtangaze huyu jamaa ambae amekufa akimtetea mke wake dhidi ya wadai wake kama man of the year!? Maana si kawaida huenda mwingine angekimbia na kuacha "matatizo"kwa mke wake lakini yeye aliamua kuwavaa oya na kuwasababishia "matatizo" Zamani kabisa...
  6. Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

    Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, Pwani, amefariki dunia baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Tukio hilo lilitokea alfajiri ya Jumanne, tarehe 8 Oktoba 2024, wakati wafanyakazi hao walipofika nyumbani kwake kudai marejesho ya mkopo wa Tsh...
  7. Sheria imzuie professa Juma kujenga ufisadi wa kitaasisi anaotaka kuujenga katika Mahakama

    Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana. Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama...
  8. Moyo Wangu Ulivunjika: Safari ya Juma na Amina Katika Mapenzi na Maumivu

    Katika kijiji kidogo cha Mlimani, alikuwapo kijana aitwaye Juma. Alikuwa na ndoto kubwa za kuja kuwa msanii maarufu wa muziki. Alipokuwa shuleni, alikuwa akiimba nyimbo za mapenzi na za kijamii kwa marafiki zake na walimu wake. Kipaji chake kilikuwa cha kipekee, na kila mtu alimpongeza kwa sauti...
  9. Unataka kujua haki inatukanajwe? Tembelea viunga vya Mahakama za Prof Juma, kesi ya Yanga dhidi ya Magoma haina namba na imeshaamuliwa!

    Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa...
  10. Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu

    Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
  11. Mzee Magoma akana kushinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga

    “Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
  12. Naomba msamaha Mgunda kwa kujaribu kufananisha na pandikizi David. ndio kocha mwenye CV mbovu zaidi ligi kuu kwa sasa Hafai ata kuwa kocha wa pamba

    Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego. Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa umeneja. Au kuna watu wa Yanga wamepenyezwa kuiua simba kabisa. Hapa tuwe wakweli hii Timu bora ata...
  13. Juma Mgunda atema mabovu kuhusu Cloutus Chama

    “Ni mchezaji huru, ni mchezaji mwenye kutaka wazo la kwenda kucheza, lazima mjue Chama ni Mzambia na shughuli yake ni kuchez mpira, msubirini chama mumuulize yeye mwenyewe, sisi kama Simba tunazungumzia ya kwetu, Chama anatuhusu nini tena? Unashangaa nini Chama kutoka Simba? Kwani kaziliwa Simba...
  14. Kati ya Shilole (Shishi Baby) na Juma Jux (African Boy) nani mkali zaidi?

    Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube. SHILOLE 1. Lawama 2. Nakomaa na jiji 3...
  15. Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  16. A Journey My Life, Speeches & Writings Kitabu Cha Maisha ya Juma Volter Mwapachu

    "A JOURNEY" MY LIFE, SPEECHES & WRITINGS" KUTOKA KALAMU YA JUMA VOLTER MWAPACHU Kuna wakati naamini hata William Shakespeare alikuwa anaishiwa na maneno kalamu ikabakia inaning'inia mkononi na wino kumkaukia. Leo nimekitia kitabu mkononi. Kwa hakika nimechelewa kukipata na sababu ni kuwa...
  17. L

    Hongera sana kocha Hemed Morocco na msaidizi wako Juma Mgunda kwa kazi nzuri nchini Zambia

    Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa nao hasa wale walioanza sikudhania kabisa baadhi yao kama wanaweza kupambana kiasi kile hasa kutokana...
  18. Dkt Mwigulu, Juma Aweso na Emmanuel Cherehani, wameshuhudia utiaji saini mradi wa Bilioni 44 wa maji ya ziwa Victoria

    DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 - USHETU Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji...
  19. T

    Ukiongea ndiyo watu hukujua uelewa wako. Nimemsikiliza Juma Homera RC Mbeya. Makonda na mauza uza yake ya nyuma ni RC bora.

    Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu Waziri Mkuu. Mkuu huyu wa mkoa ni mweupe kanisa, hajui itifaki, kwanza amepewa nafasi kumkaribisha...
  20. Wakongwe Filbert Bayi na Juma Ikangaa Vitu viwili tofauti

    Kushoto ni mwanariadha mkongwe wa zamani Juma Ikangaa (280) na kulia ni mwanariadha Mkongwe Filbert Bayi (331); Ukiwaangalia kwa haraka kwenye picha utadhani ni marafiki , Ila wapo tofauti kabisa; Juma Ikangaa ni mpinga rushwa na hapendi vitu vya dhulma swala tano kabisa, ila Filbert Bayi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…