juma

  1. JamiiForums Tanzania Juma Zuberi Homera ana uzoefu gani kwenye diplomasia?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, amewasili jijini Geneva, nchini Uswisi, kushiriki Mkutano wa Ngazi ya Juu katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ulioanza Februari 23, 2026. Katika mkutano huo Mhe. Homera anatarajia kuwasilisha taarifa rasmi ya Jamhuri ya...
  2. JamiiForums Tanzania Aweso: Changamoto ya maji Kijiji za Baraki, Wilaya ya Rorya - Mara imesababishwa na bomba kukatwa na wanaodhaniwa kuwa wafugaji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji iliyopo kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara baada ya kipande cha video kusambaa kikionesha Wananchi wakichota maji kwenye eneo ambalo halina maji safi na salama. Kusoma kilichotokea...
  3. JamiiForums Tanzania JUMA NAPOME ALIUAWA AKAACHWA AOZE?

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Wiki 2 zilizopita nilipigiwa simu kutoka Kata ya Shangani, Halmashauli ya Manispaa Mtwara. Aliyenipigia simu alijitambulisha kwa jina la Faudhia Napome, ni mdada hivi. Alinipa taarifa kuwa kaka yake aliyemtambulisha jina la Juma Napome alichukuliwa askali jeshi...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu umeheshimu madhehebu ya kikristu umefanyika katikati ya wiki

    Mojawapo ya manunguniko ya muda mrefu ni madhehebu ya dini ya kikristu kukosa fursa pale ambapo uchaguzi ulikuwa ukifanyika siku za Ibada hususani jumapili. Niwapongeze INEC kuchukua maoni ya viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kutenga siku ya katikati ya wiki.
  5. JamiiForums Tanzania Umoja wa Watanzania -Sir Juma Nature

    Msikie Juma Nature hapa
  6. JamiiForums Tanzania Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa kitendo hiki nimemtoa thamani

    Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa Kumdharau Mtu aliyemtoa Producer Master Jay kuanzia leo nimemtoa Thamani kwani Kakosea mno
  7. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kesi ya Magufuli

    Tundu Lissu ailaza chali Jamhuri, kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiangusha Jamhuri katika kesi ya kumkashifu JPM iliyokuwa ikimuhusu Dennis Wilson Wilson, mwanachama wa Chadema alishtakiwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Eti leo jumapili umejifanya kutuongoza sala wakati jana juma mosi ulikuwa juu ya meza🤣

    Anyway kila mtu na maisha yake..😂
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Mbowe ametanguliza Watoto kuangalia kama watafaulu

    Mahojiano haya ya Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege) alifanya mahojiano na East Africa Radio ambayo yalirushwa hewani Juni 10, 2025, aligusia kuhusu hali ya siasa inavyo upande wa CHADEMA.
  10. JamiiForums Tanzania Pangani: Juma Aweso kafanyaje hadi kupata kura zote za Wajumbe kila Kata?

    MATOKEO YA AWALI KURA ZA MAONI PANGANI 1):KATA YA MKALAMO 1.Jumaa Aweso- 219 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 2):KATA YA MKWAJA 1.Jumaa Aweso- 248 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 3):KATA YA KIPUMBWI 1.Jumaa Aweso- 414 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 4):KATA YA MIKINGUNI...
  11. JamiiForums Tanzania Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

    Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mke mdogo wa Juma Aweso anaomba Kura zenu

    1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni. 2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri wa Maji. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu? VIJANA mkajiajiri
  13. C

    JamiiForums Tanzania JUMA AWESO, wakazi wa goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari za jioni bw Aweso Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo. Kikawaida tunapata maji kwa wiki mara moja kila siku ya jumatano, lakini imepita wiki tatu sasa hatujapata maji...
  14. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Angelina Mabula na Juma Aweso ndiyo mawaziri pekee waliokaa wizara moja kwa zaidi ya miaka nane

    Wakuu nimeona Mbunge Angelina Mabula anasema ukitoa yeye na Waziri Juma Aweso hakuna waziri mwingine ambaye amekaa wizara moja kwa muda wa miaka minane mfulululizo, Je ni kweli?
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mambo 11 ahadi za Murtaza Mangungu vs Juma Nkamia. Ametimiza mangapi kabla ya kumlaumu?

    Mangungu aliahidi mambo 11 wakati anaomba kura kuwa Mwenyekiti Simba. kabla ya kuhukumu rejea kwanza ahadi zake, ametimiza mangapi? https://youtu.be/t_mRj7nOM14?si=dTAi_PkWeRMepQW_
  16. JamiiForums Tanzania Ubunge kwa sasa ni kama Bongo Star Search tu; Juma Nature na wewe chukua hapo TMK

    Kama una kadi ya CCM usijiulize mara mbili mbili kachukue ugombee ubunge. Usiseme oooh mimi sina skills au exposure, bunge lililopita na lijalo halihitaji hayo mambo. Bunge litahitaji zaidi kupitisha mambo ya serikali na kumsifu mkuu. Baaasi Kwa hiyo hata wewe Sir Nature Kiroboto kachukue fomu...
  17. JamiiForums Tanzania Juma homera unaondoka mbeya na Siri nzito !!

    Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni...
  18. JamiiForums Tanzania Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Juma Omar: Wanajeshi Wastaafu, tunapata Pensheni chini ya kima cha chini, mimi napata 140,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho. Amesema kwa mwezi amekuwa akipata laki moja na arobaini, huku wanajeshi wengine makanali waliopigana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…