(i) Tanzania sio nchi ya KILOKOLE
Mnapopita kila nyumba kuhamasisha watu waje kanisani kwenu mna maana gani?? Yani unakuja unagonga unafunguliwa, tunasalimiana, bila hata kuuliza mimi dini gani unaanzA kunikaribisba kanisani kwenu, hiyo ipo sawa?? Kwamba nyie akili zenu zinawatuma kila mtu ni...
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana.
Weledi katika hutuba unahitajika sana, kamwe usije ukajitolea tu maneno kichwani mwako utaharibu mambo.
Hayohayo maneno unayotamka...
Yule fedhuli mwenye roho ya korosho,
Mwenye hoja zisizo mashiko,
Anadhani katiba ni hadithi za esopo,
Kila mara hutoa boko,
Kwasasa amekosa soko,
Kila kona mi miwasho,
Mikali zaidi ya ile ya uamsho,
Ataipata ya joto,
Kiti kitawaka moto.
Wahuni wenye mikoko,
Wanaotegemea pisto...
Uwiano wa kujibu nyuzi na kuzitama/soma jukwaani, hasa jukwaa hili la siasas unashangaza!
Kwa haraka haraka sana uwiano ni kama ifuatavyo kwa uchache:
1. Nyuzi za Leo-74/994; 2/10; 29/698; 10/134; 16/282;,na 24/307
2. Nyuzi za jana kurudi nyuma- 61/2000; 164/3000; 15/214; 15/219; 4/126...
Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Septemba 19,2025 akiwa katika mkutano wa Kampeni kata ya Gongoni Jimbo la Tabora mjini amemlisha kiapo cha kuwatumikia Wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Hawa Mwaifunga mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano...
Habari za weekend wataalamu?
Kuna tabia inaboa hasa nimeiona hapa kwenye hili jukwaa la mapenzi.
Mtu anaweza akaanzisha mada yake vizuri tu hapa, watu badala wajikite kwenye kuchangia mada wao wanaanza kumuiliza mleta mada eti una umri gani?sasa najiuliza umri wa mtu na mada aliyoleta vina...
Nianze kwa kukemea watu mnaorushia hotuba sijui za Rungwe, Zitto, Madeleka n.k tusipotezeane muda.
Tunajua CCM hawana ustahimilivu wa kuwavumilia wapinzani wakijinadi.
Hii ni game, watachezewa wajinga pekee
Kuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani.
Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku.
Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni...
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.
Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
Mzuka wana jamvi ??
Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.
Tukianza na Hawa ;
Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
Wakuu
🤣 Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu asimulia alivyopikwa humu Jukwaani (JamiiForums) wakati akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo kwenye kipindi chao cha Jahazi
Aslaam aleykum !
Katika kipindi nilichokuwa humu hawa ni miongoni mwa watu wenyewe visa na mikasa ya kweli na wana vipawa vya kusimulia,
Ingekuwa jeshini walikuwa wanapewa nyota na bibi na bwana mabegani,wasimuliaji hawa ni kama ifuatavyo
1 LWANDA MAGERE ,huyu mtu atengwe dunia yake ili tulaza...
Utangulizi
Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Makonda alimtaja...
ugonile,
Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k
Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much
Bill Lugano aka...