Hodi humu jukwaani

Hodi humu jukwaani

D_Mshauri

Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
26
Reaction score
15
Ndugu zangu katika umoja mnikaribishe humu ukumbini. Najua nipo sehemu sahihi. Nahitaji ushirikiano wenu, hasa katika eneo langu la ushauri na nasaha. Focus yangu vijana na wanandoa. Nimejiunga mahususi kwa habari ya ujumbe wa upendo. Tutakutana humo ndani ya kumbi za jukwaa, asanteni
 
karibu sana gentleman 🐒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom