Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 774
- 2,810
Wanahisi wamekuwa neglected katika jamii inayowazunguka ambayo imekataa ku-prioritize afya ya akili.
Sasa ndani ya JF with hidden identity anaona ndio pahala sahihi pa ku-shout out🗣🗣makunyazi yake, sio kwamba apunguze stress ila bila kujua ana jihukumu kwa namna alivyo kwa kuyasema mambo mazito ili wewe ujisikie vibaya
Ndio maana utakuta mtu ni matusi, ugomvi na reaction zisizokuwa na kichwa wala mguu, sio kwamba ni mjinga au makusudi bali ni depression.