juice

  1. Mikhail Tal

    Nahitaji mashine ya kukamua juice ya miwa

    Habari wakuu nahitaji msaada wa kupata mashine ya kukamua juice ya miwa. Nipo Dar es salaam kama kuna mtu unaweza kunielekeza zilipo kwa hapa Dar ntakushukuru sana Au kama unaweza kunisaidia contacts za mahali nitapata hizo mashine.
  2. Abdistar

    INAUZWA Mashine ya kukamulia juisi ya miwa inauzwa

    Tunamashine mpya za kukamulia juice ya miwa ➡ Zinatumia betri hvyo unaweza fanya biashara hata mahali ambapo hakuna umeme, ➡ Bei ni 2.3 ml 📞±255657291795 WhatsApp kwa maelezo zaidi .
  3. K

    Naomba ufafanuzi katika hili la mtoto kunywa juice ya nanasi na kutoa jasho jingi

    Naamini mmesherehekea salama pumziko la pasaka na poleni kwa ambao haikuwa amani kwa namna moja au nyingine. Aidha poleni kwa misukosuko na taaruki ya ugonjwa wa COVID -19 najua imeleta athari kadhaa zikiwemo vifo na makatazo ya kujumuika katika shughuli mbalimbali za mikusanyiko. Zaidi kwa ili...
  4. Johari msabila

    Uuzaji wa fresh juice

    Nahitaji kutengeneza fresh juice nataka kujua viungo vya kuweka hasa kwenye juice mix
  5. Podcast

    Nahitaji mashine ya juice ya miwa ya kukodi

    Habari ndugu zangu, Leo nimekuja hapa mapema hii nikiwa na shida ya hii mashine ya kutengeneza juice ya miwa, nahitaji kutoka kwa mtu atakayeweza kunikodisha na sio kununua. Awe Dar es salaam na bei ya kukodisha iwe affordable
  6. B

    Hii Juice ya ukwaju ni ukwaju kweli au ni mchanganyiko

    Hi wanabodi Napenda kujua hii juice ya ukwaju ni ukwaji kweli au tunakunywa mchanganyiko tu. Na hii maziwa ya asas nayo siku nimeyanywa siku ya pili niliyaacha wazi nikakuta yameharibika inakuwa ni maziwa au dawa ndo zimejaa huko...maana maziwa ya mtaani aisee yanamaji balaa
  7. miminimkulimaakachekasana

    Juice Wrld: US rapper dies aged 21 'after seizure at airport'

    (CNN)Rapper and singer Juice WRLD has died in Chicago, the Cook County Medical Examiner's Office said Sunday. Juice, who was born Jarad Anthony Higgins, turned 21 on December 2. The rapper suffered a medical emergency shortly after arriving at Chicago's Midway International Airport, according...
  8. Nyendo

    Tropical smooth juice

    Tropical smooth juice Mahitaji Nanasi 1 Ndizi mbivu 3 Machungwa 3 Jinsi ya kutengeneza Hatua 1 Menya nanasi lako baadae kata vipande vipande na weka kwenye chombo chako. Hatua 2 Kata ndizi yako vipande vidogo vidogo na weka kwenye chombo chako. Hatua 3 Menya machungwa yako yote matatu na...
  9. D

    NAFASI YA KAZI DAR.

    Habari... Anahitajika kijana kwa ajili ya kazi ya utengenezaji na uuzaji juice ya miwa .. eneo kigamboni ferry .. awe msafi,mzoefu,muaminifu na mchapakazi. Mshahara mzuri .. malipo ya kila siku. Garama za chakula na usafiri atapata. Kwa muhitaji wa kazi hii aniPM au atume ujumbe kupitia...
Back
Top Bottom