Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu...