Wanachi wataumia sana, hawana mtetezi.
👇
Nipashe ilitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salam na kubaini kupanda bei za bidhaa zinazotumiwa na kwa mlo wa kila siku ambazo ni mchele, maharagwe, unga wa ngano, unga wa sembe, dona na choroko.
Mchele kilo moja umepanda kutoka sh. 1,800 au 2,000...