joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Joto kali nchini Hispania lasababisha vifo vya watu 510

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Taasisi ya Afya ya Carlos III ya Hispania, watu 510 wamefariki kutokana na wimbi la joto kali nchini Hispania. Joto kali lilianza tarehe 10 Julai, huku joto la juu zaidi nchini humo likifikia kati ya nyuzi 39 hadi 45.
  2. L

    Utalii kwenye bustani ya wanyamapori Beijing wapamba moto wakati likizo ya majira ya joto inaanza

    Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China. Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
  3. Joto Uingereza kufikia nyuzi joto 43C Julai 19, 2022

    Uingereza inatarajiwa kuwa na Nyuzi Joto 43C, kesho Jumanne Julai 19, 2022 ikiwa ni hali ya joto kali kuwahi kutokea katika historia ya Nchi hiyo. Mamlaka za hali ya hewa za Uingereza (MET) zimeeleza kuwa leo Jumatatu Julai 18, 2022 hali ya joto inatarajiwa kuwa Nyuzi Joto 40C. Source...
  4. Hali ya joto kali bara la Ulaya (Europe)

    Wakuu hili joto kipindi hiki ulaya ni kwanini inatokea hivyo, huku kwetu ni baridi na maeneo mengine ni baridi kali kwelikweli, Mbeya, Arusha, Moshi, Kagera, Iringa(baadhi ya maeneo), Njombe(Makete), hali ni tete. Baridi maeneo hayo ni kali mno. Hadi baadhi ya wananchi wa maeneo ya jiji la...
  5. Joto likipanda utasikia ni uchafuzi wa mazingira, baridi likizidi wanafunga midomo hawana majibu

    Habari! Kuna wakati Mimi napingana na sayansi ya mazingira. Mara nyingi hata kwenye mikutano ya kimataifa wanajadili global warming ambayo inasababishwa na shughuli za kibinadamu kama viwanda, kilimo, uvuvi n.k. Lakini kuna misimu mingine ya baridi kwa maeneo mbalimbali duniani inapita kawaida...
  6. Uingereza yatangaza hali ya hatari kwa ongezeko la viwango vya joto nchini humo

    Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
  7. Wanawake weusi wana joto kali sana

    Baada ya kufanya research ya kutosha Kwa kutumia sampuli zaidi ya 50 nimejiridhisha kwa 100% kuwa mademu weusi ni watamu na wana joto kali kuliko weupe. Pengine ni kwasababu ya kile tulicho fundishwa kwenye sayansi kuwa rangi nyeupe huakisi mwanga wakati nyeusi husharabu mwanga mimi sijui ila...
  8. Japan yawataka raia milioni 37 kuzima taa kukabiliana na wimbi la joto na uhaba wa umeme

    Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
  9. L

    Wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali

    Juni 19 mwaka 2022, halijoto ya juu ya siku hiyo ilikaribia nyuzijoto 40 mjini Ji’nan China, na wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali.
  10. Elimu High School Bure; Je, tunawapa watu mashuka wakati wa joto na kuwanyima wakati wa Baridi?

    Nimeona wamesema Elimu High school itakuwa bure, ni vema na Haki, Lakini hii kuwasaidia watu elfu 70 ambazo wazazi wanaweza kujichanga na kuomba omba wakapata na kule ambapo wanadaiwa mamilioni ya Pesa na kukosa hata mikopo (Kwenye Vyuo) Hawapewi kweli kuna tija? Kwa kila mzazi kutoa elfu...
  11. Tundu laini lenye joto natapika

    Ndio ukweli wenyewe na sina tatizo la mafuta mwilini natoka naingia natoka naingia na lia kwa raha analia kwa sauti.
  12. Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal. - Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
  13. India yaonya ongezeko la joto kalikutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

    Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae - Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
  14. U

    Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto

    Wadau wa JF, Hamjamboni nyote... Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika. Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k Tazama orodha: 1. Makumbusho...
  15. Msimu huu wa joto kali ni vizuri wizara ya afya ikahimiza wananchi kunywa maji mengi/matunda

    Mikoa mingi hapa nchini kwa sasa inapitia katika kipindi cha jua kali na lenye joto kali kupindukia, si usiku si mchana joto ni kali. Bado wananchi mfumo wao wa maisha ni ule ule kutokana na wengi kutokujua umuhimu wa kunywa maji mara kwa mara hususani kipindi kama hiki. Kipindi kama hiki...
  16. T

    Nina tatizo la mwili kuchoma ninapo pata joto

    Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi kumpata tena aliniambia ni minyoo akanipatia dawa za minyoo sizikumbuki ni aina gani nlipona kabisa...
  17. Hili joto kupikia jiko la gas kwenye chumba na sebule ni mateso

    Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata hivyo joto unalopambana nalo kwenye chumba wakati unapika ni kadhia nyingine. Unaishi kwenye chumba...
  18. Mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita kwa joto zaidi

    Utafiti wa hali ya joto duniani na mashirika mawili ya Marekani umeonyesha kuwa mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita wenye joto zaidi duniani. Takwimu za hivi karibuni zilizokusanywa na Shirika la taifa la Marekani linaloshughulikia utafiti wa anga za mbali, NASA na Idara ya Bahari na Anga ya...
  19. D

    Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

    Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri. Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa! Ukiachilia mbali wanasaikolojia! Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka...
  20. Watanzania mnalo! Jua na joto kali, mgao wa maji na sasa mgao wa umeme

    Poleni sana, halafu kwa namna huwa mnabanana kwenye madaladala, mbona mnalo. Tanzanians should brace for more pains as power rationing looms after Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) revealed that water levels in many of their dams have reduced. According to a statement issued...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…