joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. Brayan_Jk

    Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  2. Mkanaani

    Usiteseke na joto, njoo upate AC kwa kulipia kidogo kidogo, kukodisha au kununua cash.

    Habari zenu wapendwa, tukiwa msimu wa joto naomba kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa AC kutoka Baridi Baridi ili kupambana na joto nyumbani, ofisini, hotelini, supermarkets n.k AC zetu unaweza kupata kwa; KULIPIA KIDOGO KIDOGO, hapa unakua unafungiwa AC na unakua unalipia kidogo kidogo kila...
  3. mirindimo

    Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  4. Orketeemi

    PostGE2025 Video : Joto la maandamano lazidi kupanda kanda ya ziwa

    Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea. Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini. Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.
  5. The Dictator

    Tunapoelekea tusipokuwa makini kuna watu watakufa kwa joto

    Hii ni wilaya fulani hapa Dodoma. Kweli hili ni jangwa!!
  6. kyagata

    Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

    1.Dar 2.Pwani 3.Tanga mjini 4.Ruaha mbuyuni 5.Ifakara 6.Mpanda 7.Dodoma yote 8.Tunduma 9.Himo 10.Bomang'ombe 11.Kia 12.Same 13.Singida yote 14.Shinyanga 15.moshi mjini 16.kyela
  7. Msanii

    Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao. maelezo yapo kwenye video hapa chini
  8. Samia atosha tukutane2030

    Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu? Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
  9. M

    Jinsi ya kumtambua ng'ombe wako kama yupo joto

    Habari wafugaji, Leo tutajifunza juu ya kumjua ng'ombe wako Kama yupo kwenye joto (estrus), dalili za joto kwa ng’ombe: 1. Kukubali kupandwa (standing heat): - Dalili kuu! Ng’ombe husimama kimya anapopandwa na wenzake au dume. 2. Kutoka ute mwepesi (clear mucus) sehemu za siri - Mara...
  10. M

    Jinsi ya kumtambua nguruwe wako kama yupo joto

    Habari za muda huu natumaini wote ni wazima,Leo nitaenda kutoa elimu ya kujua Kama nguruwe wako yupo kwenye joto. 👉Note. Nguruwe ambaye yupo kwenye joto hukaa ndani ya masaa 72 (siku tatu) ✅Njia za kumtambua nguruwe aliye joto: 1. Test ya "standing reflex": - Mweke mikono yako juu ya...
  11. GoldDhahabu

    Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  12. M

    Taa za joto za kulelea vifaranga kwa ofa ya 10000 tu

    Usikubali vifaranga wako kupoteza maisha kisa baridi
  13. R

    Hard disk ya laptop naitumia kwenye TV shida inapata joto kali, natatua vipi hili tatizo ?

    Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb 3.0. Shida inakuja hard disk inapata joto kali sana
  14. NALIA NGWENA

    Medali iliyopelekwa ikulu na Yanga SC inawatia Tumbo joto Simba SC

    Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili kurejesha amani ya Mashabiki Wao Wenye ugwadu na uchu Wa kuona timu Yao imefika ama kuvuka hatua...
  15. KING MIDAS

    Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa. Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
  16. X

    China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  17. T

    Kuongezeka kwa Joto Nchini

    Wakuu hali ni mbaya, joto limeongezeka maradufu , sehemu nilipo niewasha feni ila joto linasoma nyuzi joto 29C hali ni mbaya kunyweni maji mengi sana. Noamba kuwasilisha
  18. Saa kumi na moja

    Vodacom 4G inasababisha simu kupata joto sana

    Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa Vodacom Itakuwa vizuri wakirekebisha hili tatizo. Halotel natumia ila ipo vizuri 4G yake...
  19. GENTAMYCINE

    Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

    Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga, Lindi, Mtwara na Zanzibar (Unguja na Pemba) Nilipo Mimi Kampala, Mubende...
  20. Mkalukungone Mwamba

    TMA: Wananchi chukueni tahadhari ongezeko la joto

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusiana na ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini kunakosababishwa na kusogea kwa jua la utosi, wananchi wameshauriwa kuchukua hatua kukabiliana na athari kutokana na uwepo wa hali hiyo.
Back
Top Bottom