john

  1. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  2. V

    Kanisa la Baptist IFB: Heko Rais John Magufuli kwa msimamo wako juu ya corona na chanjo zake

    TAMKO LA KANISA KUUNGA MKONO MSIMAMO WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA SUALA LA UGONJWA WA COVID-19 NA CHANJO ZAKE 1. UTANGULIZI: Tamko hii halina malengo ya kisiasa kwa maana sio jukumu la kanisa kuhubiri siasa (1 Kor. 5:12; 2 Tim. 4:2). Hii ni taarifa fupi ambayo haitaweza kugusia kwa...
  3. M

    John Gilbert Bayo au Gilbert John Bayo; Kipimo cha Uadilifu wa Dkt. Tiboroha

    Siku ya Alhamis ya tarehe 28 ya mwezi wa kwanza mwaka 2021, wadau wa Riadha Tanzania na Taifa kwa ujumla walipokea kwa furaha kazi nzuri yenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele iliofanywa na kamati maalum ilioteuliwa na Baraza la Michezo Tanzania BMT kwa maelekezo ya Wizara ya Michezo. Kamati...
  4. Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  5. J

    Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  6. J

    Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

    Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM. Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili. Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga. Tukio hili liko...
  7. Rais John Magufuli, karibu Morogoro kwa Chifu King'alu Mwana wa Chifu Msumi

    Leo 20:30hrs 11/02/2021 Karibu Rais John Pombe Magufuli,Karibu katika Mji wa Kihistoria,Karibu Morogoro,mahali ambapo Safina ya Nuhu ilitia nanga baada ya Gharika kuu iliyoua watu wote duniani, karibu Mkoa wa Morogoro ambao eneo kubwa ni hifadhi za Wanyama wote,Ndege wote,na viumbe vyote...
  8. Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

    Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
  9. S

    John Fisso na Makika Kasuga hawa ndio walioliua Shirika la Chuma la Taifa

    Awali ya yote kwanza nilipongeze Gazeti la Mwananchi kwa kazi nzuri sana juu ya uchunguzi wa kina katika kujua chanzo cha kifo cha Shirika la Chuma nchini , binafsi nimesoma matoleo yote mawili yaani toleo la Jumatano , Januari 27 na toleo la pili Januari 28 , 2021. Shirika la Chuma...
  10. Q

    Waziri Jafo apendekeza Stendi mpya ya Mbezi ipewe jina la Dkt. John Magufuli

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya, ambapo amesema atamuomba Rais aridhie ombi hilo. ============ Waziri...
  11. Tamko la Madiwani na viongozi wa mila (Ilaigwanak) wa eneo la hifadhi ya mamlaka ya Ngorongoro (NCAA)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA MADIWANI NA VIONGOZI WA MILA (ILAIGWANAK) WA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO (TARAFA YA NGORONGORO) JUU YA UHIFADHI NA JAMII Sisi, Madiwani na Viongozi wa Mila (Ilaigwanak) wa Tarafa ya Ngorongoro (eneo la Hifadhi ya Ngorongoro), Wilaya Ngorongoro kwa niaba...
  12. Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania. Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
  13. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, tunaendelea kukuomba Mkoa mpya wa Nyakanazi

    Dkt. John Pombe Magufuli, hongera sana kwa kutekeleza vema majukumu yako ya urais Naomba kukukumbusha juu ya maombi ya kutengewa mkoa mpya wa Nyakanazi. Mkoa huu ilipendekezwa uundwe na wilaya za Kakonko na Kibondo (Kigoma), na Ngara na Biharamulo (Kagera). Mkoa huu uwe na jumla ya wilaya nne...
  14. Dkt. John Pombe Magufuli akikubali tu, niko tayari kumpokea kijiti hicho 2025

    JF members, and Tanzanians! Dkt John Pombe Magufuli amefanya mengi mazuri kwa taifa letu la Tanzania - ni ngumu kutaja kwa jina kila alichofanya lakini kwa uchache - elimu, afya, barabara na vivuko, uwajibikaji, makusanyo na kodi, matumizi ya fedha za umma na kukomesha Ufisadi ni miongoni mwa...
  15. Dkt. John Pombe Magufuli amefanikiwa - tuchangie ujenzi wa madarasa

    Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam! Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana. Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa...
  16. Dkt. John Pombe Magufuli umelifaa taifa kisiasa na kiuchumi. Sasa ongeza kasi kudhibiti fedha za political vote

    Dkt. John Pombe Magufuli, ni mwamba imara - umefanya mengi mazuri i.e utawala bora, uwajibikaji, miundombinu nk Pamoja na hayo nashauri uangazie sana matumizi ya fedha unazotoa kwa ajili ya mfuko wa self help schemes or political vote. Kwa wasiozifahamu ni kuwa Serikali hutoa:- (a). Fedha za...
  17. Dkt. John Pombe Magufuli ameanza kuishiwa na rasilimali watu - siyo kawaida yake kukaimisha

    Wanabodi, Salaam. Nimeona kupitia mitandao ya kijamii kuhusu utenguzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Igunga mkoani Tabora leo tarehe 28 Desemba, 2020. Kwa ujumla iwapo Mkurugenzi huyo alikuwa na kasoro lazima atenguliwe kupisha wenye uwezo, ubunifu na wanaojali kuongeza mapato...
  18. John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

    Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema. Mbali ya hayo wamesisitiza kuwa wataendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu uliokuwa unafanyika kwenye mifuko ya majimbo...
  19. J

    John Komba: CCM ni kokoro

    Kila nikikumbuka kauli hii ya aliyekuwa mbunge wa Nyassa John Komba RIP aliyoitoa bungeni kwamba CCM ni kama Kokoro huwa inanitafakarisha sana. Sasa kama CCM ni kokoro chama kikuu cha upinzani CHADEMA tutakiitaje? Maana Chadema hupokea mtu yoyote na hawadumu baada ya kitambo kidogo huondoka...
  20. Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

    Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe". Mkurugenzi kafanya mengi Kajenga Zahanati, Kadhibiti mianya ya rushwa, Kajenga shule za msingi Kaongeza mapato ya halmashauri, Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake, Kadhibiti makazi holela, Na mengine mengi mazuri jamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…