John boko naye aongeza mkataba

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Hapa sasa utaona tofauti ya meneja mwenye akili na meneja muhuni ,yaani zimbwe ilitakiwa makelele yote yale hadi kutafuta back up ya shaffih dauda kuitukana simba ili mchezaji wako apewe mkataba mpya?
Mbona meneja wa John boko hajapitia mhaho wote huo?Once a muhuni always a muhuni jitu limekulia maisha ya usela mavi ya manzese halitabadilika yaani zimbwe huyo jamaa unadhani ndo atakupeleka teams za south africa? thubutuu sidhani hata kama anayo e mail adress yule
boko.JPG
 
View attachment 1766712
uyo jamaa nilishamdharaugi tangu apigwe kidole na mchezaji mwenzake afu hakurusha hata ngumi tu. simba bakini naye tu yanga huyo hana nafasi kabisa.
 
Meneja wa Mohammed Husein yupo kwenye soka la bongo wakati MO Bado Mtoto, Babra Hajazaliwa, Anaposema wachezaji wa Bongo hawapewi thamani halisi kulingana na uwezo wao uwanjani ana maanisha.
Kwenye mikono yake wamepita wachezaji wengi wengine wamesha staafu mpira. Ndio maana hakutaka kui bembeleza Simba, alichotaka wote wafaidike Simba na mchezaji. Mambo ya kucheza hizi timu kwa ushabiki ayapo sikuhizi.
 
Kuwa kwenye soka muda mrefu sio sababu ya kupayuka kwa mambo ambayo meneja anaweza kuonana na uongozi wa team na wakazungumza.
 
Boko amesaini kandarasi ya miaka mingapi?.
tofauti ya boko na zimbwe kiakili imeonekana yaano boko imeenda poa bila mikwaruzano ,huyo mwingine atarajie simu za kutosha toka kwa ndugu jamaa na marafiki kuomba hela maana chawa wake wamekiwasha kweli ilibaki kidogo watuambie hata boxer anavaa ya rangi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom