john

  1. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 John Mrema: Watoto wanaotaka kujiandikisha waende na cheti cha kuzaliwa

  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania "Karibu Karibu Ndugu Jela ni ya Wanaume," Field Marshal John Okello Anamkaribisha Abdilatif Abdulla Kamiti Prison

    Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine. Nimekaa nyumbani kwake Humburg. Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi. Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  5. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Alikuwa wapi kiongozi wa BAVICHA taifa, John Pambalu wakati wa maandamano?

    Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John Pambalu akijiusisha kwa lolote kuanzia kwenye hamasa mpaka ushiriki. Chadema kuna shida kubwa sana.
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TETESI JOHN MNYIKA ATAPEWA KESI YA MAUJI NA UTEKAJI

    Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake. YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
  7. L

    JamiiForums Tanzania John Cheyo: Maandamano hayatufikishi popote

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

    kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO... demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi...
  10. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha UDP kimemchagua John Cheyo kuwa Mwenyekiti kwa awamu nyingine

    Habari wakuu Nilikuwa naangalia habari hapa nimeona taarifa ya John Momose Cheyo kuchaguliwa na wajumbe wa chama chake kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka mitano Wajumbe wametoa maoni kwamba bado mwenyekiti wao anafaa na ana maono ya kukisaidia chama, ingawa kidogo kwa namna...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Namtafuta John Mnyika wa mwaka 2005-2020, je ni muumini wa kanuni ya "kutoongea wakati wa kula"?

    Namtafuta J.J. Mnyika wa wakati huo, sio huyu ambaye yuko cloned. Mnyika yule aliyekuwa anajenga hoja nzito, Mnyika yule akiwa hana madaraka ya chama, hamalizi muda hajatoa "jiwe", Mnyika yule mtafiti, msomi wa Maua Seminary aliyepata Division One ya "A" masomo yote. Nini kimemfanya awe kimya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini U-FM Jana walikata matangazo DW Wakati John Pambalu alipokuwa akizungumza?

    Jana Mchana DW SWAHILI katika Kipindi cha meza ya Duara waliwaalika wanasiasa watatu nchini Tanznaia akiwemo John Pambalu Mwenyekiti wa BAVICHA, Steven Wasira Kada wa CCM, na Abdul Nondo Mwenyekiti ngome ya vijana ACT. Walikuwa wana mjadala kuhusu 4RS za Rais samia kama zinaishi ama zimejifia...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  14. L

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  15. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Dr John Pombe Magufuli: A Visionary Leader Who Changed Tanzania Once and for All

    Dr John Pombe Magufuli, the late President of Tanzania, is remembered as a transformative figure whose leadership left an indelible mark on the nation. Dubbed "The Bulldozer" for his uncompromising approach to development, Magufuli's presidency was characterized by bold initiatives aimed at...
  16. mfetere

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tractor John Deere for sale

    Tractor john Deere Price/Bei:58M Namba DC mpya sana Location Dar es salaam Contact 0714787795
  17. fungi06

    JamiiForums Tanzania Nimemmiss sana, Hayati John Pombe Magufuli

    Sio siri amna kipindi nilifurahia kuwa mtanzania kama kipindi raisi Magufuli akiwa Rais wetu. Kwa sasa sioni furaha kabisa na taifa langu. Sina Imani na viongozi wangu hata mmoja labda tu Makonda angalau ananionyesha anaujali sana utaifa wetu. Huu ni mda wakuwapa vijana fursa hawa wazee hawana...
  18. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania John Cena Atangaza Kustaafu Kucheza Mieleka (WWE) Ifikapo 2025

    Mcheza mieleka na mwigizaji maarufu kutoka Marekani John Cena, ametangaza kustaafu kushiriki katika Mashindano ya Mieleka (WWE) wakati wa hafla ya WWE Money in the Bank iliyofanyika Canada tarehe Julai 6, 2024. John Cenna amesema atashiriki mashindano yake ya mwisho yatakuwa mwaka 2025 kama...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania John Bocco ndiye mfungaji wa muda wote wa ligi kuu Tanzania bara

    Jamaa hawezi itwa striker hatari ila amemake historia kubwa. Magoli 155.
  20. Shark

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba S. C yaachana rasmi na John Bocco kama mchezaji

Back
Top Bottom