john

  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche chukua Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA

    Kwa hali ilivyo wananchi na wanachadema wote wanaomba uchukue fomu kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti. John unazo sifa zote kuliko Wenje na mwingine yeyote kwa nafasi hiyo. Ni mwanachama Asili wa Chadema umepikwa na kupikikia na ni mzalendo wa kweli na mwenye Busara na Hekima utamsaidia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania John Heche: Nimewasikia watanzania, nitazungumza

    Kaandika hivi katika mtandao wa X: Tuna jukumu la kihistoria la kuhakikisha tunaipatia Nchi yetu chama mbadala, na serikali mbadala itakayowatumikia watu na kuwaondoa katika umasikini wa miaka 63 ya Uhuru.Serikali na chama kitachopinga rushwa bila aibu, chama kinachochukia umasikini, chama...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe na chama chake anaelekea kuingia kwenye kundi la John Cheyo Mrema Lipumba ameamua kuzama na Jahazi

    Kuna haja Gani ya kungangania madaraka Kama umejenga chama na Mifumo imara kwa miaka 20 Nilifikiri angegombea Uraisi lakini pia hafai kabisa , Kama mkiti wa chama ameshindwa kujenga Mifumo ni nchi iliyojaa rasilimali Kibao Aibu kwa watu tuliowaona wangemshauri wamekuwa machawa
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania John Heche anaunga mkono Mbowe kupisha nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa kwa heshima

    John Heche kwenye ukurasa wake wa Twitter ame- repost ujumbe wa David Mfugwa wa Chadema ambao unamtaka Mbowe kustaafu kwa heshima na kulinda heshima yake ndani ya Chadema. Hii ina maana kuwa hata Heche hakubaliani na kauli ya #Mi5tena. Msimamo wetu hautaturudisha nyuma. Ni ama Mwamba avuke na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atoke ili John Mrema na Benson Kigaila waishije?

    Toka John Mrema ahitimu elimu ya Ualimu na kupata Gentlemen pass hajawahi kuwa na maisha nje ya Chadema au siasa. Gari ya kwanza kumiliki Mbowe alimpa zawadi ya Nissan Safari ambayo ilikuwa Mali ya Chadema. Kapata mke kupitia posho za chadema. Kajenga kupitia pesa ambazo anahongwa na Mbowe...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013. Amepigana vita iliyo...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa nini Lissu amedhamiria kuwafukuza John Mrema na wenzake pale makao makuu ya Chadema? anamsaidia Msigwa kulipa kisasi?

    Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu. Tetesi zinasema sababu kubwa ni kulipa kisasi cha rafiki yake Msigwa ambaye wakati wa uchaguzi wa Kanda alisikika akitoa milio ya...
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: John Heche chukua fomu ya kungombea wenyekiti Taifa (CHADEMA) Lissu na Mbowe wote wapigwe chini

    Wakuu wana jf amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake. Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa maslai mapana ya chama na kwa kuzingatia kwamba chama bado kinawaitaji mh Lissu pamoja na mhMbowe katika kuendeleza mapambano ya kuiodoa ccm madarakani, lakini pia mapambano aya bado...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ajibu kuhusu Freeman Mbowe kutangaza nia ya Uenyekiti CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Why Elton John Calls the Legalization of Marijuana ‘One of the Greatest Mistakes of All Time’

    The music icon says he believes it’s “addictive” and “leads to other drugs” Elton John criticized the legalization of marijuana, saying it’s “addictive” and impairs cognitive thinking. “I maintain that it’s addictive. It leads to other drugs,” John, who was named Icon of the Year by Time...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maiti ya Mchungaji John Chida iliyosubiriwa ifufuke kwa miezi miwili yazikwa Iringa, Agnes Mwakijale anashikiliwa na Polisi kwa kuishi na Maiti

    Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida aliyetarajiwa kufufuka, umezikwa leo Desemba 6, 2024 katika makaburi ya Mlolo Manispaa ya Iringa. Mwili wa mchungaji huyo ambaye alifariki dunia Oktoba, uligunduliwa Desemba 3, mwaka huu ndani ya nyumba yake ukiwa...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wafadhili wa nini? - Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nashangaa mpaka leo CCM hawaonyeshi kutambua mchango wa Captain John Komba

    Siwapendi CCM ila juna wakati nikisikiliza nyimbo za Caotain Komba huwa nabaki natabasamu,maneno kama mtaisoma namba,CCM ni ile ile,yanakera na kufurahisha kwa wakati mmoja. CCM wanapiga tu nyimbo zake sijui kama familia yake Inafaidika na hizo nyimbo. Kama hamuwezi kumlipa mjengeeni mnara basi...
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa serikali kupitia fasihi juu ya changamoto za walimu by John Woka & Mkoloni - Walimu

    CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA.. "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala...
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones

    Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia. Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya...
  17. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  18. econonist

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuondokana na John Mrema hapa CHADEMA

    Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama...
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 John Mrema: Watoto wanaotaka kujiandikisha waende na cheti cha kuzaliwa

Back
Top Bottom