john mnyika

  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  2. L

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎 #JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Wajumbe watakaopiga kura kwenye Mkutano Mkuu ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi, wa 2019 siyo halali

    Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019...
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kumejitokeza vitendo vinavyoashiria kuvunjwa kwa miongozo na baadhi ya wanachama (wa CHADEMA)

    Narudia kwa mkazo wakati natoa wito kwa wagombea, wanachama na mawakala wa wagombea kuzingatia katiba kanuni maadili na itifaki ya chama katika mchakato mzima wa uchaguzi.” “Hata hivyo katika kipindi hiki cha uchukuaji na urudishaji fomu kumejitokeza vitendo ambavyo vinaashiria kuvunjwa kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kijana John Mnyika apongezwe kwa uzalendo wake!

    Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika. Huyu ni mtu...
  6. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu, Mbowe, Wenje na Heche sasa ni zamu ya John Mnyika kuunguruma

    Katibu mkuu wa CHADEMA anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kesho 07/01/2025 saa tano asubuhi katika makao makuu ya chama hicho.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, Kigaiya na Lema mko wapi, chama kina pasuka vipande?

    Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka. Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!! Mnyika umekaa kimya!!kulikoni? Au ndio tunagawana mbao? Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njama: Inadaiwa 'Mfumo' unapanga kuvuruga Uchaguzi wa CHADEMA ili ionekane chama hicho hakina Amani

    Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma Taarifa kamili hii hapa Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ajibu tuhuma za Tundu Lissu kuhusu rushwa, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama "Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ajibu kuhusu Freeman Mbowe kutangaza nia ya Uenyekiti CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari muda huu, Makao Makuu ya Chama hicho, Mikocheni Dar es salaam. Fuatilia live mazungumzo yake hapa https://www.youtube.com/live/toK4jk5NCAo?si=heoTafP2I9zGwBWT CHADEMA yatoa tamko la Uchaguzi wa Kitaifa kwa mwaka 2024...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Ni rahisi kumhoji Katibu Mkuu wa CCM, Emanuel Nchimbi, kuliko Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    "Kumpata na kumhoji Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emanuel Nchimbi ni rahisi kuliko Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika," Gerald Hando - Mwandishi wa Habari.
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mnyika ahoji kauli ya Mchengerwa ya kushirikisha Jeshi la Polisi kwenye Uandikishaji wa Wapiga Kura

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameonyesha mshangao wake kufuatia maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, kuhusisha Jeshi la Polisi katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 John Mnyika na John Mrema wamepongeza huduma zitolewazo kwenye usafiri wa treni ya Mwendokasi na filamu ya Royal Tour

    Wakuu nimekutana na video inayosambaa kwa kasi sana mtandaoni ambapo wanaonekana John Mrema na John Mnyika, na Mrema akisikika kuwa atatoa maoni juu ya usafiri huo mara baada ya safari kukamilika lakini kinachonipa utata ni sauti inayosikika katika video hiyo baada ya Mrema ikisema viongozi hao...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nadhani kwa 2025 John Mnyika anafaa zaidi kugombea Urais kuliko kina Lissu na Mbowe apewe nafasi

    Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi . 1.Mjasiri 2.Mtu mwenye busara 3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka . Upinzani mtuandalie mtu huyu
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Mnyika afunguka Ugumu wa Maisha kwa Wananchi na kukua kwa deni la Taifa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa wito kwa Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kuzingatia suala la kupanda kwa gharama za maisha. Mnyika amesema hali hiyo ni sehemu ya athari mbaya za kiuchumi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Madai ya John Mnyika, Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ukweli dhidi ya Upotoshaji

    Kutoka Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi ya UVCCM taifa Majibu kwa Madai ya John Mnyika,Katibu Mkuu wa Chadema.Ukweli Dhidi ya Upotoshaji 1. Ukweli kuhusu Mamlaka ya TAMISEMI Madai ya John Mnyika kwamba TAMISEMI imepokea majukumu kinyume na sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ni upotoshaji wa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mnyika aitupia lawama TAMISEMI, adai ni Mpango wa CCM na TAMISEMI kutohamasisha Uandikishaji wa Wapiga Kura

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao...
Back
Top Bottom