"Rais Samia kupitia watu wake wa karibu na Afisa mmoja wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wamekwenda kuwa lubuni;
1. Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mstaafu)
2. Salum Mwalum (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mstaafu)
wamefungua kesi dhidi ya Chadema kwa kile walichodai kuwa maslahi...
Amekacha! Huo ndio usemi wa vijana wa kileo unaoweza kutumika kueleza hatua ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Victoria, Ezekhia Wenje kutoonekana katika mikutano ya kampeni ya chama hicho ya "No reforms, No election" inayoendelea kwenye kanda yake.
Tangu...
"Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi waliokuwa madarakani wa kitaifa, Mwenyekiti aliyekuwepo, Makamu wenyeviti waliokuwepo kabla ya hatua...
Anaandika John Mnyika kwenye ukurasa wake wa X:
Nimewasiliana na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe amenieleza hana dhamira ya kugombea urais, ubunge au uongozi wa chama chochote cha siasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Natambua kuwa wachache waliojiondoa CHADEMA baadhi yao wamekuwa...
Namshauri John Mnyika awe makini sana na asimuamini sana Mbowe kwa kile alichomueleza.
Mnyika anapaswa kujiuliza juu ya ukimya wa Mbowe licha ya yote yanayoendelea na ni lazima ajiulilxe ni kwanini hakutoka mwenyewe hadharani kukanusha badala yake amesubiri mpaka Mnyika amtafute ndio akanushe...
Wakuu wa JamiiCheck hii uhalisia wake upoje??
===
JOHN MNYIKA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KULINDA DEMOKRASIA NCHINI AMEYASEMA HAYO LEO WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA MEI MOSI 2025.
LEO TAREHE 30 APRILI, 2025, MAKAO MAKUU YA CHADEMA.
"Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa...
"Tunamtaka mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, kama haya matendo hayana baraka zake ajitoze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma, juu ya matukio ya kupigwa kuteswa kuumizwa kwa wanachama na viongozi wa CHADEMA akitaja idadi halisi, akitaja sababu sababu ya hali hizo na kuwajibika kutokana na...
"Tutaonesha kwa muhutasari matukio ya msingi yenye kuthibitisha kwamba jeshi la polisi lilikamata viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kupiga viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kufanya uharamia wa kudhalilisha utu wa viongozi na wanachama wa CHADEMA, na baada ya kuonesha...
Katibu mkuu wa CHADEMA aonyesha ushahidi Kwa Ulimwengu kuwa Polisi waliwakamata zaidi ya watu 20 na kisha kuwaondoa maeneo ya Kisutu kisha kuwatelekeza sehemu za Coco Beach, Ununio, Mabwepande, Bagamoyo na katika mitaa ya jijini Dar es Salaam
"Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam...
"Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
"kuanzia saa tatu asubuhi niliwekwa kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja na nusu usiku, ni tukio ambalo nalitafsiri kwamba polisi waliniteka na kuniweka kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja nanusu usiku, hawakunieleza nimefanya kosa gani saa moja nanusu nikawaambia kama ni kunishikila kwa...
Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please
Erythrocyte
Usiiku huu Jeshi la Polisi limemleta Katibu Mkuu wa Chama Mhe. Makao Makuu ya Chama akiwa salama. Hajaguswa.
Soma Pia: Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi
Picha akiteta na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahimu Juma katika ofisi ya Makao Makuu ya Chama.
Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;
"Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya...
Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo Aprili 24,2025 katika eneo ya Fire akielekea Makama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu...
Anaandika JJ Mnyika Katibu Mkuu.
Kujibu andiko la Wakili Msomi Jonathan Mndeme
———————
Kabla ya vifungu vya 162(2) na (3) vya Sheria ulipaswa kuanza na 162 (1).
Kifungu cha 162(1) kinaeleza Tume baada ya kushauriana na vyama vyote vya siasa na Serikali itandaa na kuchapisha katika Gazeti la...
Kwenda kusaini kitu kinachoitwa Maadili ya uchaguzi bila kufanyika kwanza reforms ni sawa kabisa na kusaini hati ya kifo chako wewe mwenyewe.
Mimi niwaombe sana ndugu zangu wapigania uhuru wa Nchi hii, CHADEMA, kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa, ebu tuwaachie watawala waendelee kuchaguana wao...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake
Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.