john mnyika

  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Kuna njama ya kutukamata viongozi wa CHADEMA kabla ya Oktoba 29, 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akizungumzia tukio la kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti, Bara wa chama hicho, John Heche, leo Asubuhi Mahakamani alipofika kwa ajili ha kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Tundu Lissu. "Kama kukamatwa kwake John Heche...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche, Mnyika, Rupia, Mwaipaya, Hilda na Wanachama wengine wa CHADEMA waitwa Mahakamani Oktoba 15, 2025

    Bado hali si rafiki kwa CHADEMA kila siku wao na mahakama, kesi zimezidi kulindima kila kukicha kwao> Au tuseme serikali ya CCM imeendelea kuwazofisha tu, na ukizingatia Kuna mipango ya maandamano ya Oktoba 29 =============== FAHAMU kwamba shauri lililotajwa hapo juu limepangwa kuitwa kwa ajili...
  3. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika Mahakamani Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu akiwa na T-shirt yenye ujumbe wa Biblia kuhusu Haki

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo ameonekana katika Ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam akihudhuria Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Kilichovutia macho ya wengi ni mavazi yake, ambapo Mnyika alivaa fulana...
  6. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Zuio la Mahakama halijatufanya CHADEMA tusitishe Michango ya Tone Tone

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa makatio ya kujirudia. Mnyika ameyasema hayo leo Agosti 27 alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Zuio la kufanya siasa linawahusu bodi ya wadhamini na Katibu mkuu, Wanachadema wengine endeleeni bila kutumia mali za chama

    Akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama Agosti 18, 2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika amewataka Wanachadema wengine kuendelea kufanya siasa ilimradi tu wasitumia mali za chama kwani zuio la kutokufanya siasa ni kwa katibu Mkuu na bodi ya wadhamini. === "Kitu kingine ambacho...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania John Mnyika aelezea hisia zake baada ya maamuzi ya Mahakama kuhusu mgawanyo wa mali

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho. Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18...
  9. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Tutamshauri Lissu tukatie rufaa maamuzi ya ''Mashahidi wa Siri''

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu. Kuhusu maamuzi, soma Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu Amesema...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania POTOSHI John Mnyika aligombea ubunge 2010 kwa mara ya kwanza

    Wakuu, Ni kweli Mnyika alifanya hivyo mwaka 2010? nataka kujua ukweli wa hii taarifa?
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  12. Mitch McDeere

    JamiiForums Tanzania Who is John Mnyika?

    John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and his party Secretary General. Early Life and Education Mnyika earned his degree from the University of Dar es Salaam. His early career focused on political activism and development work. He was focused on democratic reforms and governance...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wametuma Watu warushe drone kwenye majani baadae waseme hatujapata watu

    John Mnyika akiongea na wananchi wa Mbulu muda huu katika ziara yao ya Bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: CHADEMA Tupo katikati ya Vita kubwa dhidi ya Watawala, njama zinafanyika kudhoofisha CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kiko katikati ya vita dhidi ya watawala, akidai kuna njama za kupinga uamuzi halali ya vikao vya chama na kujaribu kudhoofisha harakati za kudai mabadiliko ya kisiasa nchini. Akizungumza leo Ijumaa, Mei...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lawama zote za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu atapewa John Mnyika kuliko hata aliyeshupalia 'No Reforms No Election'

    Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika aagiza mapengo wanaohama Chadema yazibwe haraka

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho kuandaa uchaguzi na kufanya uteuzi ili kuziba nafasi za viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, maarufu G55. Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa chama hicho wanaopinga kampeni ya chama hicho...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo. Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Waliondoka CHADEMA wameambiwa waende CHAUMMA na hii yote ni kutaka kuwapotezea

    CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza kuchukua baadhi ya watu wachache ndani ya CHADEMA wakiwa wamewaahidi kwamba waende kwenye chama...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Salum Mwalimu na Wenzake wamefungua kesi dhidi ya CHADEMA wakidai kuwa maslahi ya Zanzibar hayapewi kipao mbele ndani ya CHADEMA

    "Rais Samia kupitia watu wake wa karibu na Afisa mmoja wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wamekwenda kuwa lubuni; 1. Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mstaafu) 2. Salum Mwalum (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mstaafu) wamefungua kesi dhidi ya Chadema kwa kile walichodai kuwa maslahi...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje awatosa na kuwatenga Heche, Lemma na Mnyika kwenye ziara yake ya mkoani Kagera

    Amekacha! Huo ndio usemi wa vijana wa kileo unaoweza kutumika kueleza hatua ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Victoria, Ezekhia Wenje kutoonekana katika mikutano ya kampeni ya chama hicho ya "No reforms, No election" inayoendelea kwenye kanda yake. Tangu...
Back
Top Bottom