Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 556
- 1,039
Bado hali si rafiki kwa CHADEMA kila siku wao na mahakama, kesi zimezidi kulindima kila kukicha kwao>
Au tuseme serikali ya CCM imeendelea kuwazofisha tu, na ukizingatia Kuna mipango ya maandamano ya Oktoba 29
===============
FAHAMU kwamba shauri lililotajwa hapo juu limepangwa kuitwa kwa ajili ya kutajwa tarehe 15 Oktoba, mwaka 2025, saa 3:00 asubuhi mbele ya Mheshimiwa Jaji A. Mbagwa.
UNATAKIWA kufika mahakamani siku hiyo bila kukosa, na uwakilishe nyaraka zote ambazo unakusudia kuzitumia kama ushahidi wa kuunga mkono upande wako wa shauri.