john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

    "Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Watu wanahoji maridhiano, unaridhiana na nani? CHADEMA siyo tuvyama hutu twa mfukoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
  3. JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi ya Lissu ni ya uongo aachiwe bila masharti yoyote

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, ametoa wito wa kumuachia huru bila masharti Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini.
  4. JamiiForums Tanzania John Heche ashiriki mazishi ya Mama Robahi Samson, akemea utekaji na mauaji yanaendelea

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), ameshiriki mazishi ya Mama Robahi Samson yaliyofanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika Kata ya Sirari, Kijiji cha Buriba Sirari wilayani Tarime Mkoa wa Mara. Marehemu ni mama mzazi wa kada wa CCM, Sinda Geteba, aliyetekwa. Sindar Ghiteba, ambaye...
  5. JamiiForums Tanzania Namlisha mawazo Mwigulu; "Huyu John Heche anajiamini nini huyu"

    https://www.youtube.com/shorts/6aDJnh2uHPo Sauti ya Mamlaka John Heche ikipasuka
  6. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA ndio chama kikuu nchi hii namna ya kukidhibiti nikutumia jeshi na polisi

    Makamu Mwenyekiti Bara CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho ndicho cha siasa kikuu nchini Tanzania na hakipaswi kulinganishwa na CCM, kwa kuwa njia pekee zinazotumika kudhibiti chama hicho ni kupitia Jeshi na Polisi, badala ya hoja za kisiasa. Ameyasema hayo leo, Januari 22, 2026...
  7. JamiiForums Tanzania Heche: Chuo cha kumbukumbu ya Mtei kitafundisha kupinga Rushwa

    "Chama chetu [CHADEMA] kitajenga Chuo cha Kumbukumbu ya Edwin Mtei pale kwenye viwanja vyetu Dar es Salaam, eneo la Soga ili kiwe kinafundisha vijana wetu uadilifu, uongozi, namna ya kupinga rushwa, uchumi, mambo yale [marehemu Edwin Mtei] aliyotaka kuyaona yanatokea." - John Heche, Makamu...
  8. JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA waahidi kujenga chuo kumuenzi hayati Edwin Mtei

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Makamu Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa John Heche, kimezungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama wa chama hicho, na kueleza masikitiko makubwa kufuatia kifo cha Hayati Edwin Mtei, Mwasisi wa CHADEMA. Akizungumza katika mkutano...
  9. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini John Heche hasikilizwi wala haheshimiwi kama makamu na kaimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pale CHADEMA masalia?

    Ni kwasababu ya jinsi anavyo onekana? Ni kwasababau ya matamko nonsense na uropokaji useless? Au ni kwasababu za hali yake ya kiuchumi? Wafuasi wa Chadema masalia wanamchukuliaje huyu muungwana ambae ni adict wa kubeti? Mungu Ibariki Tanzania
  10. JamiiForums Tanzania Mchange: Heche ananufaika na kesi ya Lissu ndio maana haifiki mwisho

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametuhumiwa kutumia changamoto za kuwa mahabusu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa manufaa yake binafsi. Tuhuma hizo zinaeleza kuwa Heche anadaiwa kuzuia kwa makusudi jitihada za kumaliza kesi inayomkabili Lissu ili aendelee kubaki na...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM azomewa na wananchi wakati akitoa tuhuma dhidi ya John Heche mbele ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29

    Hii ndio dawa yao kwa hawa machawa wa CCM lazima wanyooshwe na ujinga wao ============= Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, Hamza Kyeibanja, amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kuzomewa na wananchi ukumbini wakati akitoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
  12. JamiiForums Tanzania POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  13. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA haiko tayari kwa Maridhiano

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania. Akiongea leo January 03,2026...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Sauti za wananchi kutaka mabadiliko zilipuuzwa kabla ya uchaguzi

    "Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza wananchi, vyama vya siasa na wadau wa demokrasia juu ya hitaji la nchi kuhusu mabadiliko (reforms) ya mifumo ya uchaguzi nchini." "Hiki kinachoitwa maridhiano...
  15. JamiiForums Tanzania Heche: Tundu Lissu ni tunu ya taifa aachiwe bila masharti

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Bara John Heche @hechejohn amesema Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu ni tunu ya taifa huku akishinikiza kuachiwa kwa kiongozi huyo bila masharti. Heche ameyasema hayo leo Januari 3, 2026 katika hotuba yake kwa taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Heche: Mradi wa SGR wenye thamani ya Tsh. Trilioni 14 wasimama kutokana na mvua, nani abebe hasara?

    Makamu mwenyekiti CHADEMA bara John Heche anandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu TRC Kusimamisha safari za SGR kutoka Morogoro -Dodoma kutokana na athari za mvua. "Mradi wa reli ya Tazara uliojengwa mwaka 1970 unapata shida kwasababu ya mvua.. Mradi wa SGR ambao umejengwa hata...
  17. JamiiForums Tanzania John Heche: Nawatakia heri ya mwaka mpya 2026 watanzania wote, Mwaka Mpya, Taifa Jipya la Haki, Ukweli na Ujasiri wa Kubadilika

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa John Heche, anawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya wa 2026. Tunapoingia mwaka mpya, tunatambua maumivu, hofu na uchovu uliowagusa wananchi wengi. Tunawatakia uponyaji wa mioyo, faraja kwa waliopoteza wapendwa wao, na matumaini mapya kwa kila...
  18. JamiiForums Tanzania John Heche hutubia taifa uwambie wanachadema Sasa mnaelekea wapi 2026 baada uchafuzi KUISHA na uwambie wategemee Nini 2026?

    Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Mpango wa sasa wa ccm ni kutumia ofisi ya msajili kuifuta CHADEMA

    Anaandika John Heche "Chama chetu kimeshambuliwa pakubwa mno, viongozi na wanachama wetu kwa maelfu wametekwa, kuumizwa, kuwekwa mahabusu za polisi kwa mda mrefu bila sababu.. Wengine kina Mdude, Soka , Kipanya na wengine wengi hajulikani walipo Mpaka sasa. Chama chetu kimefungiwa kufanya kazi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea, Chadema na John Heche watalaumiwa kukausha vyanzo vya maji na kuleta ukame nchini

    Hellow! Ndugu John Heche na Chadema kwa ujumla, huu ni muda wa kukaa kimya kusubiri matokeo. Kama ushauri mlishatoa wa kutosha na hamkusikilizwa, hivi sasa muda wa kuonyesha mapungufu na udhaifu wa Serikali batili umepita. Ushauri: Mkiendelea kuwashauri, watawatuhumu kuleta tatizo la maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…