john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kwa nini Heche usitete na Mbowe kuna ubaya gani ukachota busara

    Mambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche anaeleweka: Refa asiwe na jezi ya timu moja kwenye uchaguzi

    Wakuu, Uchaguzi mkuu utagharimu mabilioni ya walipa kodi katika nyakati ambazo wananchi wanakosa dawa hospitalini na watoto kukalia dawati shuleni ni utajiri. Kwahiyo maigizo ya 4R (cosmetics reforms) yanayotangazwa huko CCM hayafai na wa Tanzania wote wapaze sauti kuyakataa.. Hoja ya uchaguzi...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

    Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kuna mgogoro mkubwa ndani ya CHADEMA, inaenda kufa, Heche msitafute mchawi

  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama wa CCM ahamia CHADEMA, atema cheche balaa mbele ya John Heche

    Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15. Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?

    "wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

    Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833. Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Heche usirushe mawe ukiwa nyumba ya vioo

    HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao. Makalla amesema...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wanaoondoka CHADEMA ni matokeo ya mabadiliko ya uongozi, si ubaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi. Heche amesema hayo leo Alhamisi, Mei 8, 2025 mkoani Kagera katika mikutano ya operesheni ya No reforms, no election 'bila...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025. "Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania John Heche nakushauri chunga kinywa chako, acha kuitishia mamlaka

    Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno". Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA. Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu

    John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

    Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika; "Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta Lissu mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao

    Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake. Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania ============= “Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Hata mimi hawataki nikamuone Lissu gerezani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024. Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche ameelezea tukio la wao kukamatwa na polisi

    Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo. Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea. Nitakuwepo mbele kabisa. https://www.youtube.com/watch?v=R7XKhHM8iJg Makamu Mwenyekiti, CHADEMA, JOHN HECHE John Heche ameeleza kuwa hawatokubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…