john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania John Heche usijichoshe na Mahakama ambazo, Waziri Bashungwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali walishazipa Maelekezo !

    Wanazi hawana mpango wa kutoa haki kupitia Mahakama , ingekua hivo Kesi ya LISSU ingekua tayari Mahakama Kuu . Ingekua hivo ,huyo Muhuni angekua keshajutoa kwenye Kesi. HECHE HECHE HECHE, nmekuita mara tatu, Hamna Chama Cha Siasa Cha Upinzani Barani Afrika ambacho Uhai wa MAISHA YAKE...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Nikiwa Mbunge kwa mwezi tulilipwa Sh 12.7m, sasa nadhani wanalipwa Sh 18m

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
  4. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania John Heche: Wabunge wanafanya Siri mishahara yao ili Serikali iendelee kuwaibia Wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wakati alipokuwa Bungeni mishahara ya Wabunge ilikuwa Tsh. Milioni 4 (take home) na nyongeza ya Posho ya Jimbo Tsh. Milioni 8 kwa mwezi lakini kwasasa jumla Mbunge analipwa zaidi ya Tsh. Milioni 18 kila mwezi na ndio maana hawataki kuweka wazi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatukubaliani Kesi ya Lissu inavyoendeshwa kwa kupoteza muda

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche ametoa wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kuungana pamoja katika kuhakikisha wanapigania haki zitakazopelekea kutatua matatizo aliyodai kuwa yanaipeleka nchi pabaya endapo hatua...
  6. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Mabadiliko yakipatikana tutampelekea fomu Lissu gerezani na atatoka akiwa rais (video)

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande, watampelekea fomu ya kugombea uraia na atashinda akiwa gerezani. Ameyasema hayo Julai 11, alipokuwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola

    Wakuu! Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola" == Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika...
  8. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI John Heche avunja ukimya: Akubali kujiunga na uchaguzi, asema “No Reforms” haina maana tena

    Baada ya ukimya wa muda mrefu na msimamo wa kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya kisiasa, hatimaye mwanasiasa John Heche ameonesha mwelekeo mpya. Kupitia mahojiano maalum, Heche amekiri kuwa harakati za “No Reform No Election” zimepoteza mwelekeo na hazina maana tena katika hali ya sasa ya...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza John Heche nimegundua ndo anafaa kuwa Rais wa Tanzania jamaa ana akili sana.

    John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mbona Heche kama ana undergo healthy deterioration au ni ugeni wa siasa? Naona Kama hayupo sawa

    Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia, kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA imetuma maombi kushiriki uchaguzi

    Heche kweli kichekesho! Kila siku makelele kama generator ya kijijini, kumbe walikuwa wanapiga porojo tu! Walisema hawashiriki uchaguzi, leo wanatuma maombi kwa mbwembwe. Wanafiki wakuu, walitaka huruma kumbe walikuwa wanatafuta nafasi! Acheni maigizo, wananchi si wajinga.
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunataka serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi

    CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunahisii serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi, lakini pia tunashambuliwa kila upande mahakamani, ofisi ya msajili, polisi , John Heche
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche ampinga Rais Samia. Adai hakuna uhuru wa kufanya Siasa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amedai kuwa kitendo cha chama hicho kuzuiliwa kufanya siasa ni njama inayotumiwa kukikandamiza chama hicho kikuu cha upinzani. Heche ameyasema hayo Jumatatu Juni 30, 2025 wakati akitoa taarifa kwa umma kupitia...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Heche: Vijana wa Kitanzania Serikali hii haiwezi kuwatoa kwenye matatizo, tuungane mkono ili tupambanie maisha yetu

    Vijana Watanzania Serikali hii aiwezi kuwatoa kwenye matatizo, tuungane mkono ili tupambanie maisha yetu, kilimo kimefeli na kilimo ndio sehemu pekee inaweza kuwapa nyie ajira kwa uhakika. Hakuna utaratibu wowote wa kufungua viwanda, migondi yetu inakabidhiwa kwa wageni haswa Wachina, ukienda...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hotuba ya Rais Bungeni hajazungumza na Wananchi alikuwa anatoa maelezo kwa Vyombo vya Dola

    Akizungumza leo Juni 30, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amedai kuwa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Ijumaa iliyopita Juni 27, 2025 ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi.
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Sisi CHADEMA tunaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini isiwe ndizo zinanua baiskeli

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema wao CHADEMA wanaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini au miradi gani imefanyiwa kazi kupitia fedha hizo, lakini isiwe ndizo zinanua baiskeli na kuwagiwa watu bure na mwisho wa siku Watanzania wanapata...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania John Heche: Rais Samia Alitoa Maelekezo kwa Vyombo vya Dola Badala ya Kuwahutubia Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=pxv_q95srWY Updates.. John Heche amedai kuwa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Ijumaa iliyopita Juni 27, 2025 ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi. Vijana Watanzania Serikali hii aiwezi kuwatoa kwenye matatizo...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Leo Saa Nane tutazungumza na Watanzania, CCM imeshindwa kuiongoza Nchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania John Heche: Mahakama isipange kesi ya Lissu kwenye Vyumba vidogo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA – Bara, John Heche ametoa wito kwa Mahakama kutumia Vyumba vikubwa wakati wa mchakato wa kesi ambayo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu ameifungua katika Mahakama Kuu akiitaka kufanya marejeo ya kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama Kisutu. Heche...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Shughuli ziendelee bila kutumia rasilimali za chama

    CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio...
Back
Top Bottom