PreGE2025 Mwanachama wa CCM ahamia CHADEMA, atema cheche balaa mbele ya John Heche

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,926
Reaction score
6,575
Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15.

Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Grace Chalz Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15
Natoa wito kwa team G 55 watafakari uamuzi wao na kufanya maamuzi sahihi ambayo ni kurudi Chadema na kutafuta muafaka na kulijenga taifa letu kizalendo na sii kichawa kama wafanyavyo ccm na matawi yao.
 
Jamani c tulikubaliana kila aliyepo ccm n shetani na hafai kwenye jamii, inakuaje mnampokea huyo dada?
 
Natoa wito kwa team G 55 watafakari uamuzi wao na kufanya maamuzi sahihi ambayo ni kurudi Chadema na kutafuta muafaka na kulijenga taifa letu kizalendo na sii kichawa kama wafanyavyo ccm na matawi yao.
Atuwataki sisi wakunja ngumi
 
ameachana na kazi zote za shetani CCM mikono yake ipo safi kwasasa
Kama ambavyo lowassa aliachana na kazi zote za shetani ccm akaja kwenu, ila baada ya kuona sura yenu halisi akaamua kumrudia shetani mana Ana afadhali kuliko nyie 😂
 
lowasa alilazimishwa kurudi ccm na dikteta hayati
 
Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15.

Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3332025
ccm haiwezi kua na mwanachama lofa kama huyo gentleman, :pedroP:

mtengeneza script wa hiyo drama amefanya mistakes nyingi sana za sanaa kwenye hii drama my friend:pulpTRAVOLTA:
 
Huyu Mwanacha
Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15.

Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3332025
Huyu Kwa anavyoongea, ni wazi alikua na Moyo wa kichadema Toka awali, na anataman sana kutumia Karama yake kuwatumikia Watanzania .

Ila mwanzon alihiso Platform ya Kumfanya awatumikie Watanzania ni CCM.

Amekuja kugundua, Imani na Falsafa zake haziendani na Chama Cha Majambazi
 
Wanasiasa wakati wa kuchanga karata zao ni sasa
Ila pia wakumbuke kutochanga hata uharo wachange mawazo yenye uzalendo kwenye ujenzi wa taifa na sii ujenzi wa tumbo za chawa,machawa na wabugia kwa urefu wa kamba.
 
Back
Top Bottom