CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio...
Makamu Mwenyekiti Tanganyika, John Heche kuzungumza na Watanzania kupitia Chadema Media TV YouTube, Jioni hii baada Polisi kuzuia Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 saa Tano Asubuhi
https://www.youtube.com/watch?v=Jxk77712D8I
"Mwezi Juni 2025 Mahakama Kuu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche atazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa...
Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam.
Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha kwa watawala wasio na nia njema na taifa letu.Au ndege wa rangi moja wanaruka pamoja!
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche, amemtaka RPC wa Tabora kuacha upotoshaji kuhusu tukio la kushambuliwa kwao wakati wa mkutano wao.
Pia, Soma: Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha Heche sio Polisi, tayari tumeshamkamata
Heche amesema hakuna sehemu yoyote kwenye mazungumzo ambapo...
Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata...
Wakuu,
Kumbe hata huko kwenye Jeshi La Polisi kuna watu bado wana uungwana?
Huyu hata akifukuzwa kazi huko Polisi wananchi simameni mumchangie.
Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora
Kafanya jambo la kitume sana
https://www.youtube.com/watch?v=-n8I1q4rGHI
Salaam,
Killa KITABU na nyakati zake,
Hizi ni nyakati zako sahihi John Heche, huu ni wakati wa maji kugeuka cement na kuubeba mwili wako Kisha utem EE juu yake.
Maji ni watu, watu waeza kukubeba illi ukivushe chama,sauti za kelele kwamba hayo ni maji tu utazamaaa,wengine upepo mkali unakuja...
Licha ya kupewa kibali cha kufanyia mikutano ya hadhara kwa sharti la kulinda amani, lakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kushindwa kutumia uhuru aliopewa na sasa ameanza kuamuru vijana wake kuanza kuwapiga wananchi wanaokwenda kuwasikiliza ajenda zao mfu za No Reforms No Election...
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya uchaguzi.
Kupitia X, Heche amesema kuna makundi ya vijana wa Green Guard na baadhi ya wafuasi wa CCM...
Nimefuatilia sana mikutano ya Ndugu John Heche ( Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa) haya ndiyo niliyoyabaini:-
1. Ndiye mwanasiasa pekee bora kwa sasa mwenye ushawishi wa hoja zote anazosimamia.
2. Ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa wa kuelewesha wananchi ambao wengi uelewa ni mdogo na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimesikitishwa sana ,kuchukizwa sana ,kushikwa na hasira kali sana na kumchukia sana Heche niliposikia akitoa kauli za dharau na kejeli kwa susan Kiwanga kwa sababu tu aliishi kwenye nyumba ya kupanga.
Hii maana yake nini? Maana yake ni kuwa Heche na CHADEMA kwa ujumla...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.
Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni...
Hiii inaitwa Emotional Enslavement !! Kuhakikisha Watu wanaifaham CCM kama Adui yao Mkuu, alowaita umasikin tangu Uhuru, Umasikin ambao kwao CCM wakijulinufaisha , Umasikini ambao ni matokeo ya Kua na viongozi WAJINGA !!.
Elimu hii inaendelea kuwafanya Wananchi wakiamin Chama, na kukikumbatia...
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.