john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: CHADEMA sisi si wajinga, Lissu hawezi kuhukumiwa kwa Kesi ya kutengenezwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema Chama hicho hakitokubali kuona Mwenyekiti wao Tundu Lissu anahukumiwa kwa kesi za kutengenezwa. Heche ameyasema hayo leo Septemba 8 baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu ambaye tayari leo...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania John Heche (CHADEMA): Wamepanga kutuvamia na kutudhuru nyumbani, safarini au tukiwa matembezini kisha taarifa za kipolisi zitasema - majambazi

    Huyu ni makamu mwenyekiti akiandika ktk X Twitter page yake "........Nimepata taarifa na siwezi kuzipuuza. Kwamba hawa jamaa wanaandaa mbinu ikiwemo kushambulia viongozi wetu kwa mbinu za kijambazi. Kwahiyo kuna genge litavamia watu kwenye makazi yao, au hata barabarani. Halafu itasemekana ni...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Amejiandalia wapinzani wake, amewapa magari na nini cha kumsema

    Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake. Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka. Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!! What a shame kwenye uongozi wa Nchi yetu. Hawa hawawezi kukupa uhalali. No legitimacy kwenu. Watanzania hawatakubali...
  5. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA kuandika barua UN, US, EU, AU, EAC kuomba waje wakague mifumo ya uchaguzi Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametaja maazimio matano ya chama hicho, akisema wataandika barua kwa jumuiya za kimataifa wakiziomba zitume waangalizi kuja kukagua mifumo ya uchaguzi inayolalamikiwa kuunganishwa na CCM ili kukipa ushindi. Madai ya mifumo ya Tume Huru ya Taifa ya...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa kuwa John Heche amesema Gwajima Lengo lake ni urais kupitia CHADEMA

  7. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ikiwa kaka yake John Heche wa damu ni Mwanasheria anayefanya kazi na Rais Samia Suluhu Hassan , je mnafikiri kipi kinaendelea!?

    Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana. Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm . Ni kupoteza Muda . John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo Ikulu , hiyo Pekee inaonesha wazi kuwa hawa watu hawapo kwa ajili yenu.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Sisi hatutaki kushinda uchaguzi kwa sababu CCM wamegombana

    “Kuna watu wengi jana na leo wamenipigia kuhusu yanayoendelea kwenye teuzi za CCM na wengi wanasema kutokana na vurugu, kuumizana, migogoro na chuki ambazo ziko ndani ya CCM kwamba hii ni fursa kwetu kupata wabunge wengi kama CHADEMA,” amesema John Heche Makamu mwenyekiti Chadema. Hata hivyo...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari amzidi wafuasi John Heche mara mbili, Dotto ana wafuasi 1.2 instagram, Heche laki tano tu, je wanachama 13 milioni wa chadema wako wapi?

    Sensa fupi ya mtandao wa Heche inaonyesha hali hii. Heche angegombea leo angeishia kura laki tank, bora amekimbia
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kuna vyama vimeingia kwenye Uchaguzi havina wagombea. Wanapigia watu walioko CHADEMA wakagombee kwenye vyama vyao

    Wakuu, Leo John Heche kaamua kutoboa siri. Anasema kuna vyama vimeingia kwenye Uchaguzi lakini kumbe havina wagombea. Wanachofanya wanapiga simu kwa baadhi ya wanaCHADEMA wanaahidi mahela ili waondoke CHADEMA wajiunge na vyama vyao ili wakagombee. Hayo ameyasema akiwa kwenye kipindi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mahojiano haya ya Heche yalikuwa Classic. Asema CHADEMA itamshtaki OCD wa Nkasi Ingawa Inajua Mahakama Haiwezi Kutenda Haki

    Mahojiano yaliyofanywa na Jambo TV na Heche, kwa kweli majibu aliyoyatoa Heche kwa kila swali yalikuwa ya kiwango cha juu hasa. Huko CCM huwezi kumpata kiongozi wa namna hiyo. Heche anasema udikteta wa Samia ni wa kiwango ambacho hakijaaahi kushuhudiwa, japo hapo mwanzo aliwadanganya. Heche...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Hivi foleni inasogea au bado msululu ni mrefu?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche na wanachama wa chama hicho, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kesi inayomkabili Tundu Lissu kuahirishwa.
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Rais Samia, anamuogopa Lissu, akosoa hatua ya kuzuia kesi kurushwa Live

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika

    Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lembrus Mchome: Nimemshauri sana Heche lakini hashauriki. Viongozi wengi wamejaa ghilba , viburi na jeuri

    Wakuu Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Ni tatizo kuiruhusu CCM iendelee kuiongoza nchi hii, ni kuua nchi hii

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu, wanalalamikia mwenendo wa Chama na kuonesha matumaini kwa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA. Akizungumza nje ya Mahakama...
  18. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu. Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
Back
Top Bottom