job

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

    Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani . Bali...
  2. wepson

    JamiiForums Tanzania Administrative assistant Job post

    Phomas Diagnostics is a private medical device and Laboratory product distribution company registered on 2018 under the Companies Ordinance Cap 212 and issued with a Certificated of the Incorporation No. 137023083 of even date. Phomas Diagnostics is an entirely Tanzanian private limited...
  3. wepson

    JamiiForums Tanzania Administrative Assistant Job Post

    Phomas Diagnostics is a private medical device and Laboratory product distribution company registered on 2018 under the Companies Ordinance Cap 212 and issued with a Certificated of the Incorporation No. 137023083 of even date. Phomas Diagnostics is an entirely Tanzanian private limited...
  4. CarHunt Japan Tanzania

    JamiiForums Tanzania Job Offer

    Job Description We are looking for a competitive and trustworthy sales officer for CarHunt Japan branch office in Tanzania market to sell used cars, trucks, machinery and auto parts. Also, the sales officer will advertise our company products and build awareness for CarHunt Japan. Job...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, Job Ndugai bado ni Spika?

    Job Ndugai amehudhuria sherehe za kuvunjwa kwa Baraxa la Wawakilishi kilikofanywa na Rais wa Zanzibar mh Sheim. Ndugai alikuwa amevalia Joho la Spika wa bunge la JMT kama alivyoonekana kupitia luninga ya ITV. Je, baada ya bunge kuvunjwa Job Ndugai anaendelea kutambulika kama Spika? Maendeleo...
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

    Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe. Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari. ===== Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Spika Job Ndugai ameonyesha kumhofia DC Ndejembi wa Kongwa?

    Nauliza tu kwa nyie wenyeji wa Dodoma na haswa Kongwa why Job Ndugai ameonyesha kumgwaya gwaya DC Ndejembi wa wilayani kwake? Au mambo ya Gairo yanafanana na Kongwa?! Maendeleo hayana vyama!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Naomba kujuzwa chimbo la vibarua hapa mjini ni wapi? Na kazi zipi za part time hapa bongo? Kuna mtu nlimsikia kuwa posta karibu na clock tower kuna sehemu watu wanakusanyika kusubiri vibarua na nje ya bandari ni kweli? Kama kweli taratibu zipoje? Na malipo yakoje? Tujuzane wakubwa
  9. Viol

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Spika Ndugai amesema haya, Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais Nakumbuka miaka niliyosoma...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Mbowe anaweza kuwa ni rafiki mzuri wa Dkt. Magufuli kuliko Job Ndugai

    Ukifuatilia kwa makini mwenendo wa Freeman Mbowe utagundua kuwa ni mtu anayejua anachokifanya. Tofauti na wanasiasa wengi ambao hutenda mambo kwa kubahatisha, kinafiki na wakati mwingine wakitaka waonekane wanausapoti uongozi wa juu. Ukiangalia utendaji wa Mbowe kama KUB amekuwa upande wa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi dhidi ya Spika Job Ndugai na Cecil Mwambe kutajwa kesho. Ni ile ya kuomba tafsiri ya Mahakama baada ya Mwambe kurudishwa Bungeni

    Kesi iliyofunguliwa na shirika la Civic and Legal Aid Organization (CILAO) kuomba tafsiri ya Mahakama Kuu kufuatia kitendo cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumrejesha Bungeni Ndg. Cecil Mwambe itatajwa kesho tarehe 03 Juni 2020 sa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Maige, Jaji...
  12. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Wakati wapiga kura jimboni kwake wakimkana mchana kweupe tena mbele ya rais, Job Ndugai kuburuzwa kortini June 3 2020

    Mtu kati. Ni moja ya wiki stressful sana kwa Job Ndugai. Wakati huko jimboni kwake Kongwa wapiga kura wake wakimkana mbele ya mwenyekiti wa chama chake Magufuli, huku kuna wananchi wengine wanamburuza kortini. Kesi hii inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 3 June 2020 katika Mahakama Kuu kwa...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

    Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi. Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
  14. Kapepo

    JamiiForums Tanzania What is your experience on this job?

    Habari wakuu, Naombeni kusaidiwa hili jibu ikiwa mtu umeitwa kwenye interview alafu wewe umesomea electronics ila tangu umalize chuo umebahatika kufanya kazi dukani lets say duka la nguo halafu ikatokea umeitwa kwenye interview ya position uliosomea na kukutana na swali hili unaweza jibu vipi...
  15. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Kipi ni nafuu kati ya Vinyl wrap na Paint job?

    Wakuu nilivutiwa na idea ya kufanya Vinyl Wrap business about 3 years ago ila sikuendelea na hii plan kutokana na mambo kadhaa yaliokuwa nje ya uwezo wangu. So far nataka kufanya comparison kati ya Vinyl Wraps na Paint job kipi kitakuwa na gharama nafuu zaidi? Kwa wale mliopiga rangi za gari...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wenye nia ya dhati ya kumshitaki Job Ndugai tukutane hapa

    Naam wanabodi, Hakuna jambo limekera kama hili la Job Ndugai kutumia mamlaka yake vibaya. Hatua aliyo fikia siyo tu amevunja Katiba waziwazi bali pia amewafhara watanzania na kudhani kuwa hawezi kufanywa chochote. Jambo hili haliwezi kupita hivihivi. Kwahiyo kwa wale wenye nia ya dhati ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Je, tumpe tano tena Spika Job Ndugai akifanikiwa kurudi Bunge lijalo?

    Nafahamu kuwa kwa mujibu wa katiba nafasi ya Spika ni miaka mitano lakini hakatazwi kugombea tena kama anajiamini. Sasa bunge la Ndugai linaisha tarehe 30/5/2020 na Rais Magufuli atalivunja wakati wowote baada ya tarehe hiyo. Spika Job Ndugai amewafanyia watanzania mazuri mengi kupitia...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania New Job Vacancy at Chemonics International Inc Tanzania - Chief of Party

    Chemonics seeks a chief of party for the anticipated five-year, $25-50 million USAID-funded Tanzania Horticulture Activity. The project, anticipated to begin in early 2021, is expected to increase the competitiveness and inclusiveness of the horticulture subsector while improving the nutritional...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania New Job Opportunity at Pathfinder International Tanzania - SVAC Prevention Consultant

    Job Title: TORs for the SVAC Prevention Consultant Introduction Since 2014, Pathfinder in collaboration with ActionAid Tanzania and C-Sema have been implementing the KUWAZA (Kuzuia Unyanyasaji wa Watoto Zanzibar) project which is aimed at supporting the Government of Zanzibar’s efforts in...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Job at PATH Tanzania - TB Diagnostic Specialist, Infectious Disease Detection and Surveillance

    TB Diagnostic Specialist, Infectious Disease Detection and Surveillance Tracking Code9867Job Description Please submit a cover letter with your resume describing your interest in this position and how you meet the requirements. Application materials must be submitted in English and applicants...
Back
Top Bottom