jiwe

  1. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa amali ya kihandisi, Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
  2. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Mungu wangu ana nguvu sana, muulizeni Jiwe, mkinipa sababu za maana kwanini hamumtaki Samuya nitamsihi Mungu aamue kama alivyofanya kwa Jiwe.

    Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana . Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau.. Sababu ya pili...
  4. Mohamed Said

    Jiwe la Kumbukumbu la Nyumba Aliyolala Mwalimu Nyerere Ujiji 1954 Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/zZS4uioW6_g
  5. K

    Mzee Warioba, Tahadhari: Huwezi Kugeuzwa kuwa Jiwe la Chumvi

    Umesimama vyema kabisa katika kupigania maslahi ya taifa hili kila mara, lakini umepuuzwa na kudharauliwa na hao hao wanaotaka sasa uwe dodoki la kufuta uchafu. Umekuwa ni sauti pekee iliyosalia ikisikika kushauri na kuonya juu ya mwelekeo mbaya linakoelekezwa taifa hili bila ya kukata tamaa...
  6. ChekoFagia

    PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  7. The only

    Jiwe johari

    Wakuu nani ana idea ya soko la hili jiwe nimeliona mahali liko hivi 1.linarangi mingi kama rainbow 2.kwenye giza linangara(mimi sikulitest maana nililiona mchana) 3.linauhai linahifadhiwa kwenye unga na linawekewa mayai baada ya siku 3 yanatoka yakiwa matupu.(niliona mayai mawili matupu...
  8. feyzal

    Jiwe alikua kauzu sana walahy

    Ila jiwe alikua kauzu kinoma 😂😂🙌 Mwanae Jesca alimnunulia IST second hand,, Watoto wenzake huku wanaPush Rolls-Royce Cullinan series II ya $ 400k. #mdau kutoka mtandao wa X
  9. Yoda

    Watu watano waliohusika pakubwa zaidi kumsaidia Magufuli kuharibu demokrasia ya Tanzania

    Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania mpya itakapoandikwa hawa watano hawatakosekana kama sehemu ya wawezeshaji wakuu wa utawala wa giza wa...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    Mchungaji Emmanuel Rajabu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato atupa jiwe gizani

    Jiwe hili zito limenipata mimi Ponjoro wa Kinondoni nasikilizia maumivu.
  11. Dogoli kinyamkela

    *Vito - madini - dhahabu* - utendaji wake. *moonstone* : jiwe la thamani linalosaidia wanawake kushika mimba!

    VITO - MADINI - DHAHABU - UTENDAJI WAKE. MOONSTONE : JIWE LA THAMANI LINALOSAIDIA WANAWAKE KUSHIKA MIMBA! Sehemu ya nne Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ukisoma Elimu ya Vito, utagundua jinsi ambavyo kuna maajabu makubwa sana katika matumizi yake. Kuna mamia kwa mamia ya mawe ya vito...
  12. Dogoli kinyamkela

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  13. LOVE U JF

    Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  14. The Father of All

    Ukiondoa uchawa na kumaliza miradi ya Jiwe, rais Samia amefanikisha nini?

    Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan. Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo: Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa, Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani, Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi...
  15. The Father of All

    Hivi baada ya kuibuka Kizinkazi Chatolite ya Jiwe inaendeleaje na baada ya Kizi tungojee Songea?

    Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo haijawahi na wala haitatoa marais? Kwanini viongozi wetu hawakujifunza toka Gbadolite na Yamoussokro...
  16. R

    Kifo Cha dereva, kimewavuruga waliobakia, Unatamani kugombea Ili iweje?

    Salaam, Shalom! Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki. Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo. Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na...
  17. Doji MD

    Hivi kipindi cha corona asingekua jiwe hali ingekuaje?

    Kwema wakuu, Najaribu kuwaza tu hata hili deni lingekuaje, hali ya jamii pia Na vipi kuhusu nyanda zingine. Nawaza tu usichukulie serious sana
  18. and 998 others

    Mfalme Belshaza (aliyerithi kiti cha Ufalme toka kwa Nebukadreza) alimuudhi Mungu (Mene mene Tekeli na Perezi) - Danieli 5:25

    Mfalme Belshaza alimuudhi Mungu pale alipotumia vyombo vya Hekaluni. MENE, MENE TEKELI NA PEREZI (Danieli 5:25) Tutubu tuipuke hukumu ya milele. https://www.youtube.com/watch?v=rrOaRJTqx1k
  19. Echolima1

    IDF wakijivinjari kwenye mitaa ya Jenin ole wako urushe jiwe umekwisha!

    Askari wa Israel wakiwa kwenye mitaa ya Jenin usiku huu hapo wako kwenye mission ya kwenda kulikamata Gaidi.
  20. TheForgotten Genious

    Jiwe halijawahi kushindwa dhidi ya nazi!

    Mwanasheria mmoja alimuuzia kisima cha maji mwalimu. Lakini baada ya kupita siku mbili, mwanasheria yule alirudi kwa Mwalimu aliyemuuzia kisima na kumwambia: "Ndugu, nimekuuzia kisima; ila siyo maji yaliyomo katika kisima. Hivyo, kama unataka kutumia hayo maji itakupasa kulipia ziada ya pesa"...
Back
Top Bottom