jitahidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Jitahidi utafute kiwanja maeneo ya wenye connections, huduma muhimu hubanwa mitaa ya wasiojiweza ili kuhudumia wenye sauti

    Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence...
  2. JEJUTz

    Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

    It's JEJUTz here! Ni kweli kabisa ni jambo zuri kuoneka mtanashati na mrembo popote uonekanapo.Ni jambo jema kuonekana wa kisasa na unaependeza kwa mpangilio wa mavazi yako l. Ila kuna hii issue moja huwa ni kero na ni nadra mtu kukuambia ila ukweli watu huumia na kugugumia moyoni kimya kimya...
  3. MamaSamia2025

    Jitahidi kujifunza kila siku hicho unachokifanya ili hata ukiulizwa unahitaji kusaidiwa nini ili kuikuza usibabaike kujibu

    Kwanza kabisa ninampongeza Waziri wa Kilimo Bashe kwa kuguswa na kijana wa kitanzania anayefanya kilimo cha kitunguu na kutaka kumsaidia. Ubarikiwe sana Bashe. Vijana kama hawa wanahitaji kusaidiwa sana mitaji. Ila nimesikitika kijana kushindwa kujua nahitaji nini hasa ili kilimo chake kipige...
  4. GENTAMYCINE

    Mdogo wangu Ali Kamwe jitahidi kadri uwezavyo ulilipe Kiutendaji zaidi Deni la wana Yanga SC wengi Waliokukulia na Kukuamini, ila kaa mbali na Manara

    Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
  5. S

    Jitahidi watu wasifurahie anguko lako

    Imekua ni kawaida kwa baadhi ya watu kufurahi pindi wanapoona mtu flani kaanguka iwe ni mtu mashuhuri au mtu wa kawaida ambae hana ushawishi wowote katika jamii, lakini pia kuna watu huwa wanasikitika kuona mtu flani kaanguka lakini hii inategemea ni kwa kiasi gani ulikua unaishi vizuri na jamii...
  6. Raymanu KE

    Bachelor yeyote jitahidi uwe na vitu vifuatavyo

    Kitanda Fridge Gas cooker/ jiko la mkaa/ stove Subwoofer TV pana kiasi Leseni ya kuendesha gari Kabati la nguo na viatu Feni Sofa Mchongo wowote wa kukupa kipato halali Then baada ya hayo unaweza kuongezea; Biashara Kiwanja Nyumba Usafiri Mtoto Ukishafanikiwa kuwa na hayo yote si lazima uoe 😅
  7. M

    Ugenini jitahidi kati ya rafiki zako basi awepo mbea mmoja na mropokaji mmoja watakusaidia kijasusi

    UGENINI JITAHIDI KATI YA RAFIKI ZAKO BASI AWEPO MBEA MMOJA NA MROPOKAJI MMOJA WATAKUSAIDIA KIJASUSI. Yawezekana ukaona ni kinyume kwa sababu wengi husema hao marafiki hawafai ila kijasusi wanafaa sana muhimu tu uishi nao kwa akili kubwa sana yaani utumie madhaifu yao kukunufaisha wewe . Iwe...
  8. Lanlady

    Kwenye safari ya mafanikio ukishajua nyota yako inaandamwa jitahidi sana kudhibiti mhemko (emotion)

    Huu ndio hasa ushauri wangu kwa kaka yangu mkuu wa mkoa wa Arusha. Inaonesha wazi nyota yake ya mafanikio ni kali sana na inaandamwa na kila mwenye nia njema na nia mbaya. Kwa wasomaji wa biblia wataungana nami kwa kurejea matukio mbalimbali ya kuandamwa kwa watu wenye nyota za mafanikio...
  9. Mdigokhan

    Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

    Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz. Mimi sipendi kabisa mambo za mke wa mtu, kheri Awe demu wa mtu Ila Akiwa ni mke wa mtu hata kama...
  10. G

    Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea

    ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha / case ya harddisk ni usb 2.0. wafanyabiashara wameshazoea mteja akienda dukani anaulizia bidhaa flan...
  11. Zero Competition

    Mpenzi wako akikukosea jitahidi usiwe wa kwanza kumtafuta ili kulinda heshima yako

    Wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi suala la kugombana ni kitu cha kawaida na mkiona mna zaidi ta miaka miwili au mitatu hamjawahi hata kugombana basi ujue kuna tatizo katika mahusiano yenu. Inawezekana kwakua unampenda sana mwenzako inafikia wakati hata mkigombana kwa kosa...
  12. Half american

    Aina ya Watu 5 Watakaoharibu maisha yako. Jitahidi kuwaepuka

    1. Mtumiaji: watakupenda tu kadri wanavyoweza kukutumia, lakini punde tu usipowapa tena kile wanachotaka kutoka kwako, walitoweka. 2. Walalamikaji: Wataiba amani yako, furaha kwa kulalamika kuhusu jambo lile lile ambalo hawako tayari kubadilika bali wanataka ubadilike. 3.Walaumiwa...
  13. Kijana LOGICS

    Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

    Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single. Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa. kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia. Bro kama ukipata soulmate...
  14. Uwesutanzania

    Dunia ni tamu ila nifupi sana jitahidi kufanya yaliyo MEMA

    Ndugu zangu DUNIA ni kweli ni TAMU ila ni FUPI sana., jitahidi sana kufanya yaliyo MEMA. Katika mema yako usisahau na muumba wako, pia usisahau na WAZAZI wako. Kwani wao ndio wamefanya uone mwanga wa jua wa DUNIA. Pia jitahidi sana kuishi vizuri na wanao kuzunguka pia. Kwani...
  15. Samia atosha tukutane2030

    Fedha na Mungu ndiyo mtetezi wako, jitahidi utafute kwa bidii hivyo vitu viwili

    • Siku ukikamatwa kwa kosa la kuzurura mjini hapo mtetezi wako ni Mungu na fedha tu, vinginevyo utapewa hata kesi ya mauaji. • Siku ukishikwa na ugonjwa barabara hapo mtetezi wako ni Mungu na pesa tu. • Siku ukifukuzwa kazi ndipo utajua kuwa mtetezi wako ni pesa na Mungu tu. • Siku...
  16. MamaSamia2025

    Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Mambo mengi sana yamezungumzwa kuhusu mapenzi na ndoa kwa ujumla. Hata hili ninaloandika ni kama kukazia tu. Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema ni kuwa mwanaume yeyote kama kichwa cha familia ndo huamua familia yake iweje. Mwanaume ndo kabeba taswira nzima ya familia yake. Mimi leo...
  17. Gentlemen_

    Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

    Hii rule ipo kwenye nyanja 5; 1. Kibinafsi 2. Kifamilia 3. Kiimani 4. Kikazi 5. Kimahusiano Naomba nizungumzie kwa upande wa Kibinafsi na Kiimani. Sisi binadamu tumekuja Duniani kuishi na kumuabudu Mwenyezi Mungu. Basi tujitahidi katika kuishi Tuishi kweli kweli na katika Kuabudu tuabudu...
  18. Uwesutanzania

    Kabla ya kuoa au kuanzisha familia jitahidi sana uyafanye haya

    Kwa ambao bado HAWAJAOA au Kuwa na FAMILIA (MAJUKUMU) ------------------------------ Ndugu yangu kabla ya kuoa Jitahidi sana kuyaandaa mambo haya utakuja nikumbuka baadae. Rafiki maisha ya sasa ni magumu sana hivyo unapaswa kujiandaa ipasavyo kabla ya kuyaendea majukumu ya kifamilia...
  19. Desierto

    Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

    Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi 1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni, 2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi, 3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake, 4. Mchana ukimwambia alale...
  20. Slowly

    Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

    Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda...
Back
Top Bottom