Wanabodi
Tanzania tuna ma pastor wengi wakijiita majina mbalimbali kuanzia Mchungaji, Mwinjilisti, Padri, Baba Paroko, Askofu, Mtume, Nabii, Kuhani, Kardinali hadi Papa Mtakatifu, wote hawa ni viongozi wa kiimani, kazi yao kubwa kuhubiri neno la Mungu, wengine wakifanya miujiza ya uponyaji na...