jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika pilau la samaki

    I hope mko poa Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀 Mahitaji Samaki Mchele Unga wa pilau/pilau masala Binzari nyembamba Giligilani ya majani Mafuta ya kupikia Vitunguu swaumu na vitunguu maji Chumvi na viazi...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

    Natumaini mkopoa Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi MAHITAJI Naz Ndiz zilizoiva Iriki iliyosagwa ama nzima Sukari kama hupendi tumia chumvi Hatua ya kwanza Menya ndizi kata vipande vinne Kama unatumia...
  3. JamiiForums Tanzania Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  4. JamiiForums Tanzania BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

    Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu Mahitaji Ngano kilo moja Sukari robo (utaigawa mara mbili) Iriki iliyosagwa Kijiko kimoja Maziwa ya maji nusu lita Mafuta ya kupikia(pima kikombe Cha ml...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Payoneer

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kufungua account Hadi ntakavyotoa pesa kwenda kwenye bank account yangu
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza kokoto na juice

    weekend napenda kutengeza beats kwasababu kuu moja katika ya wiki naweza rudi nimechoka na njaa nikakosa cha kula beats zikanisev nikala nikalala weekend hii niliamua kutengeneza kokoto mahitaji .Unga wa ngano .sugar .baking powder .chumvi .irick .maji .blueband . mafuta chukua unga...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia VPN Katika Nchi Zenye Udhibiti Mkali wa Mitandao na Uhuru wa Kujieleza

    Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Unataka Kujua Jinsi ya Kuishi na watu wenye Personality ngumu?

    Kula hiki kitabu, Kitakufundisha jinsi ya kuishi na kuendana na watu wenye personality ngumu, Watu wasiopatana na watu, watu wakorofi, Watu hawa unakuta hatuwezi kuwaepuka kwan mara nyingi unaweza kuta ni mkeo, mmeo, mzazi wako, ndugu yako wa karibu, boss wako, mtoto wako,mwalimu wako,wateja...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika wali wa mbogamboga(wali wa maua) wa Nazi

    Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri Mahitaji Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata nzima,binzari nyembamba,kitunguu na njegere,chumvi,tui la Nazi mchele,chumvi na mafuta ya kula Hatua ya...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia NBC APP kwa Account ya kikundi

    Habari, Wana JF naomba kufahamishwa namna ya kutumia NBC APP kwa account ya kikundi wote wenye access waweze ku access Taarifa through App.
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ugumu mkubwa kufungua kikundi cha maendeleo kisheria

    wadau habari msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada Wa Jinsi Ya Kuwasha Data kwenye simu ya Sony SOV39

    Msaada tutani wakuu nimsaidie jamaa yangu Sehemu ya data ipo on lakini kwenye screen haionekani kuwa on, hata ukiingia mtandaoni hapafunguki
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika mchicha wa mafuta mchanganyiko na dagaa wa kukaanga

    Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali. Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada nnataka kusoma online university vya nje nahitaji kujua jinsi ya kutambua vyuo vinavyotambulika

    Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
  17. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kujiunga na space twitter

    Mjadala wa kesho nataka nisikose
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua ibada ya kweli isiyo ya kweli

    Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
  19. JamiiForums Tanzania Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakuwa move free on laptop...

    Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free... Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it... Natanguliza shkran za Dhati.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…