jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku atoa fedha kuweka mfumo wa maji Kituo cha Afya Itete

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo. Hatua hiyo...
  2. Masalu Jacob

    Kigoma Mjini anzisheni Kigoma Social Funds

    Habari Tanzania ! Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama mdau wa maendeleo hapa nchini. Naomba salamu hizi ziwafikie Viongozi wote wa Kigoma Mjini kuwa...
  3. R

    PostGE2025 Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho

    Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo inamfanya Victor kuingia katika orodha ya watoto wa vigogo kadhaa wa siasa ndani ya chama...
  4. R

    Dkt. Homera aagiza watumishi wenye utendaji mbovu Jimbo la Namtumbo kuhamishwa

    Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuwahamisha watumishi wawili wa kata ya Lusewa ambayo ipo katika wilaya ya Namtumbo kufuatia hali ya utendaji kazi mbovu. Maagizo...
  5. A

    KERO Shule ya Sekondari Buhanda: Wanafunzi wanarudishwa nyumbani kisa madawati hayatoshi

    Mkoa wa Kigoma, Jimbo la Kigoma Mjini – Wanafunzi waliokuwa wameanza kidato cha kwanza hivi karibuni katika Shule ya Sekondari Buhanda baadhi yao wamerudishwa nyumbani baada ya kushindwa kupeleka madawati. Tatizo hilo limetokana na uhaba mkubwa wa madawati, jambo linalozidisha changamoto kwa...
  6. dr namugari

    Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
  7. Roving Journalist

    Zanzibar: Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole Wapatiwa zawadi za motisha kwa kufanya vizuri Michepuoni

    Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole. Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
  8. Mi mi

    Wimbo mwingine wa ukombozi kutoka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Rose Muhando linaitwa Achia.

    Rose Muhando alikuwa mbele ya muda. Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu katika nchi yetu. Ukiachana na lile jimbo la vibe ya maandamano la makomborero linalotamba kwa sasa...
  9. G

    Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

    Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
  10. H

    GE2025 Jimbo la Kigoma mjini limeenda kwa B.Levo imekuwaje msomi kashindwa?

    Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa. Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI. JIFUNZENI NA BADILIKENI...
  11. M

    Pambalu: Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Nyamagana (Mwanza) ameuawa

    John Pambalu ameandika: Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi. Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa...
  12. BigTall

    GE2025 Mgombea Ubunge ACT Jimbo la Kawe asema "Tutahakikisha kuwa elimu bure inatekelezwa kikamilifu"

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
  13. R

    Video: Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero akivunja sheria za barabarani na kujihami kwa maneno 'Peleka kwa Ruto'

    Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
  14. tonicimmobility

    GE2025 Mambo atakayoyafanya Agnesta Kaiza ndani ya siku 100 akiwa mbunge Segerea

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, amesema akichaguliwa kuwa mbunge ndani ya siku mia moja atahakikisha wakinamama wa jimbo hilo wanapata mikopo ili kuwainua kiuchumi. Agnesta ametoa ahadi hiyo alipokuwa akiongea na wakazi wa kata ya...
  15. Just Pray

    GE2025 Amkeni huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole

    Watu wa Uyole na kwingineko amkeni, huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole lakini wakishazipata wanawasahau wananchi na badala yake ndiyo tunakuwa wapiga magoti. Hii Picha ya Jenista Mhagama ni mfano mzuri Mbunge Wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  16. Dalton elijah

    Umoja wa Mataifa wameshtushwa sana na kuzorota kwa hali katika jimbo la al-Fasher la Sudan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan baada ya shambulio baya la ndege isiyo na rubani siku ya Ijumaa kuwauwa waumini zaidi ya 70 huko El-Fasher, na kueleza hofu kubwa kuhusu hali inayozidi kuzorota. "Mapigano lazima...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Hasunga aahidi kuleta magari mawili kusaidia misiba akichaguliwa jimbo la Vwawa

    MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Vwawa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Japhet Hasunga, amesema akichaguliwa ataendelea kutoa huduma ya gari la kusafirisha miili ya marehemu wanaofariki dunia ndani ya jimbo lake ili kuwapunguzia gharama wafiwa. Aidha Hasunga amesema akichaguliwa tena ataongeza...
  18. The Father of All

    GE2025 Kama Jessica Magufuli anakubalika hivi, kwanini hakugombea jimbo na kuachana na ubunge wa viti maalum?

    Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na kutaka kuuhadaa umma, kama anakubalika kiasi. hiki, kwanini ameishia kwenye ubunge maalumu wakati ana...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kairuki: Nitahakikisha barabara za jimbo la Kibaha kujengwa kwa lami

    Ahadi ya mgombea ubunge jimbo la Kibamba @angellah_kairuki kuhusu kurekebisha miundombinu ya jimbo hilo, baadhi ya barabara zikijengwa kwa kiwango cha lami
  20. N

    Natafuta mdada ambaye jimbo lipo wazi mwenye lifestyle kama hii yangu

    Habari wakuu, About Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua. mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer. Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa...
Back
Top Bottom