jijini mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
  2. Think2

    Natafuta nyumba ya kupanga hapa jijini Mwanza

    Msaada natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili na sebule sina familia kubwa ninawatoto wawili na house girl sina mke. Nahitaji maeneo haya ya Kisesa, Kishiri na Igoma. Nina 100k kwa mwezi ikizidi sana iwe 150k kwa mwezi
  3. M

    Day 3: Magari ya CCM, nyumba ya mgombea udiwani vyachomwa moto na waandamanaji jijini Mwanza

    Hali jijini Mwanza leo Oktoba 31 imeonekana hivi:
  4. Think2

    Gen-Z jijini mwanza wachoma moto vituo vya polisi

    Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi .. Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji musoma Road nyamhongolo near nanenane. Taifa gas pia yavunjwa na wandamanaji kubeba mitungi ya gesi...
  5. Think2

    Uongozi wa Jabal school jijini Mwanza mnafeli

    Yaani watoto kutoka saa kumi na mbili wanasubiri usafiri hadi saa mbili hii
  6. Think2

    Leo Agosti 26 ni siku ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Mwanza katika viwanja vya Nyamhongoolo

    Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo . Kila kitu kitakuepo kama ●Pombe ●Nyama choma ●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira ●Na burudani za...
  7. Think2

    Safi sana mama yangu samia suluhu hassani kwa hili

    Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma...
  8. D

    200 na 100 ni sarafu hadimu saana haswa hapa jijini mwanza

    Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu.
  9. L

    Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  10. Think2

    Uchangishaji wa fedha kwaajili ya mwenge jijini Mwanza kata ya kishiri

    Nawasalimu kwa jina la Gwajimanizer, hili la uchangishaji wa fedha kwa wanachi wa kata ya kishili jijini Mwanza ili kuwezeaha kuleta mwenge wa uhuru, ivi serikali sI huwainatenga kiasi kwaajili ya Mwenge wa uhuru inakuaje wananchi tuchangie fedha za mwenge?? Inahitajika 2M kuleta mwenge aisee
  11. Roving Journalist

    PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  12. Think2

    Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto. Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
  13. KisiwaChaJagwani

    MWENYE CONNECTION YA KAZI JIJINI MWANZA

    Habari wanajamii forum samahan kama ntakuwa nje ya mada ila nilikuwa nahitaji msaada wenu mtu yeyote mwenye connection ya kazi aniambie elimu yangu ngazi ya Diploma ya manunuzi
  14. P

    KERO Bajaji jijini Mwanza wanapaki hovyo sehemu ambazo si salama na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara

    Ukiwa KENYATA ROAD (Mataa/Makoroboi) hadi kufika nata bajaji zimekua nyingi sana wa mbaya zaidi wanavunja sana sheria. Wanapaki wanavyojisikia, wanageuza katikati ya barabara kuna wakati unaweza kuta zinatembea Bajaj mbili lane moja wamejaa wao mmoja kushoto mwingine kulia na wanatembea mwendo...
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    Support ya media kwa wasanii wa hip hop jijini Mwanza

    MOVEMENT YA HIP HOP KUPITIA MEDIA ZA MWANZA. Mwanza kupitia Radio Free Africa na Kiss FM walifanya mapinduzi makubwa sana kwenye kuiendeleza Hip hop na hii waliifanya makusudi ili kutoa ile dhana kwamba ukiwa Dar ndio utatoka kimuziki. Kwenye harakati hizi za kuhakikisha Hip hop inafika mbali...
  16. excel

    Mtoto wa miaka 12 amejiteka akiwa na mdogo wake huko jijini Mwanza!

    #HABARI Katika hali isiyo ya kawaida mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina Frola Samson (12), mkazi wa wilaya ya Ilemela amepatikana baada ya msako wa Jeshi la polisi Mkoani Mwanza akiwa eneo la Buhongwa ambako alijificha yeye na mdogo wake aitwaye France Samson (8) huku akidanganya kuwa wametekwa...
  17. cleokippo

    Askari Polisi bandia aitwae Son, ageuka gumzo wilayani Sengerema jijini Mwanza kwa kuwatapeli Madereva wa vyombo vya moto

    Kijana mmoja almaarufu kwa jina la SON mkazi wa Sengerema jijini Mwanza amekuwa gumzo kwa wakazi wa wilaya hiyo kwa kujifanya askari wa jeshi la polisi. Kijana huyo mwenye mtandao mkubwa wa marafiki ambao ni ma askari amekuwa akitumia fursa hiyo ya kujuana na ma askari na yeye kujifanya...
  18. T

    Wakusanya tozo za parking Jijini Mwanza wala Rushwa wakubwa mtaa wa Kalutta

    Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
  19. City Of Lies

    Mgomo wa Daladala jijini Mwanza tarehe 11.03.2024

    Mgomo wa daladala unatarajiwa kufanyika jijini Mwanza tarehe 11.03.2024. Chanzo ni uwepo wa bajaji zinazobeba abiria kutumia route moja na Daladala. Nilifanikiwa kupata kipeperushi cha kuhimiza mgomo ambacho kila gari imelipia shilingi 1,000 kupata hicho kipeperushi kisha namba za usajili wa...
  20. UKWAJU WA KITAMBO

    Support ya msanii Soggy Doggy kwa wasanii kutoka jijini Mwanza

    SUPPORT YA MSANII SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA.. ____________________ ✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio jina jipya masikioni mwa watu Hasa Kwa wadau na mashabiki wa Muziki wa Bongo fleva Nchini Tanzania...
Back
Top Bottom