Jiji la Arusha limejaliwa rasilimali nyingi hasa kwenye sekta ya utalii lakini mpaka leo hawana stendi ya mabasi zaidi ya zile za watu binafsi ambazo na zenyewe nafasi ni finyu.
Jiji limekaa kaa tu halina hata mpangilio na ndio makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ndio makao makuu...
Tangu Kenan Kihongosi aapishwe ukuu wa mkoa wa Arusha, hali ya mazingira ya mji si shwari tena kipindi ambacho ni high season ya watalii wengi kutoka ughaibuni
Barabara ni chafu
Garden za mji ni chafu
Roundabouts chafu majani yameoteana kiasi cha msituni
Arusha hatujazoea hivi mkuu wa mkoa...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini Tanzania Tanzania TARURA, Injinia Victor Seff ameeleza kuwa kukamilika kwa Mradi wa Uboreshaji wa miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya pili TACTIC kwa Jiji la Arusha kutabadilisha muonekano na mandhari ya Jiji hilo kuendana na hadhi yake ya Mkoa wa...
Katika kipindi cha Medani za Siasa kinachofanywa na Edwin Odemba (Chief Odemba) na kurushwa na Star TV, Meya wa jiji la Arusha aliulizwa kuhusu malalamiko kwamba Mbunge Gambo haudhurii vikao na haya yalikuwa Majibu ya Meya.
“Siyo kwamba Gambo anaonewa, ukweli ni kwamba Gambo hahudhurii vikao...
“Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John Mongela, Kennani Kihongozi hata mimi hayuko sawa na mimi” Maximilian Iranqhe - MEYA JIJI LA ARUSHA...
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
MIRADI YA MAJI ARUSHA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani.
Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe, amesema Halmashauri ya Jiji hilo imetenga zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa mwaka wa fedha 2025 kwa ajili ya kuboresha miundombinu, ikiwemo ununuzi wa mitambo ya kutengeneza barabara.
Akizungumza na waandishi wa habari Februari 26, 2025, Meya...
Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi;
Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu;
Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI KABISA ila vina sababisha jiji la ARUSHA lisimame Asubuhi na jioni...
1. Ukitoka mnara wa Saa...
Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.
Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji.
Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi.
cc Wizara ya Maji
Huu ni utani na wananchi ambao hawana ajira. Jiji la Arusha mlifikiria hili mkiwa wazima wa afya. Enyi serikali hebu wajarini wananchi wenu kwa usawa.
Watu hawana ajira, inatokea ajira ya muda badala muwape ajira wasiokuwa na ajira mnawapa wenye ajira?Wacha tukae bila ajira Wala pesa...
MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
Ameandika Godbless E. J. Lema kwenye mtandao wa X kuwa:-
"Naambiwa vijana wengi leo wa boda boda wamepata ajali mbaya ktk mashindano haya na wengine watatu wamefariki wakitokea ktk mashindano hayo huko Ngaramtoni leo. Zuieni huu UPUUZI ambao hautazamani wala kuzingatia regulation zozote za...
Arusha ni jiji lenye hadhi yake ya kipekee katika nchi yetu.kwanza ni jiji la kitalii na pili lina utamaduni wake wa kipekee sana.
Changamoto ipo katika mtazamo kabla hujalifikia hili jiji,picha unayokuwa nayo kichwani ni kwamba arusha ni mji mzuri sana,uliostaarabika sana na wenye...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linao wajibu wakisheria wa kuwalinda raia na mali zao huku likibainisha kuwa limepokea maelekezo ya Mwenyekiti wa Ulinzi Mheshimiwa Paul Makonda aliyoyatoa hivi karibuni.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Justine Masejo...
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu.
Kesi hizo zimefunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha zikimkabili na wenzake watatu.
Kesi hizo zina mashtaka...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa, Februari 16, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.
Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.