jeshi

  1. Police wapewa jengo la idara ya maji (Duwasa) kua makao makuu ya jeshi hilo Dodoma

    Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma. Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
  2. Jeshi la Polisi nchini kutumika na CCM kuwabakiza madarakani ni uvunjifu wa Katiba ya nchi

    Tukiisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, inasema wajibu namba moja wa Jeshi letu nchini kuwa ni kuwalinda raia na mali zao Jeshi hilo halipaswi liwalinde watawala, bali linatakiwa litimize majukumu yake kwa weledi bila kupendelea upande wowote Sasa yanapotokea...
  3. Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

    iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini. Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa? Naomba kuwasilisha...
  4. Baada ya kuwashindwa Al-Shabab, jeshi dhaifu la Kenya lageukia Raia

    Teen boda boda rider shot dead by navy soldier in Mombasa A 19-year-old boda boda rider was on Wednesday morning killed by a Kenya Navy soldier in Mtongwe, Mombasa. Leonard Komora was gunned down at around 6.45am outside the Kenya Navy staff quarters under unclear circumstances. The young man...
  5. Exclusive: Uhuni wa CCM uchaguzi Serikali za Mitaa huu hapa

    MKAKATI WA MSIMAMIZI MSAIDIZI KUMHUJUMU MGOMBEA WA CHADEMA KITONGOJI CHA STOONI ULIANZISHWA MAPEMA. Mkakati wa Msimamizi Msaidizi wa Kijiji Cha Nyangoto Kata ya Matongo kuhusu uchaguzi kwenye kituo cha stooni ulianzishwa mapema. Kitongoji cha stooni kilichokuwa kinagombewa na mgombea wa...
  6. B

    Rais wa Bolivia ajiuzulu na kutanganza uchaguzi mpya kutokana na machafuko nchini humo

    November 10, 2019 La Paz, Bolivia Jeshi lamlazimisha Rais kujiuzulu Bolivia Rais wa Bolivia Mhe. camarade Evo Morales ameachia ngazi bila kutegemea leo jumapili na kutangaza kujiuzulu kufuatia mbinyo wa kisiasa baada ya kudai kuwa ameshinda uchaguzi kwa kipindi cha nne, uchaguzi na matokeo yake...
  7. Taratibu za jeshi la polisi zinaruhusu hii?

    Kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii ukiwa umevaa kombati?
  8. Moja kati ya matukio hodari kabisa ya jeshi la Tanzania

    Ilikuwa siku ya Jumapili ya tar. 8 Machi, mwaka 1987, saa nane za usiku, katika viunga vya jiji la Dar es Salaam, kambi ya wapigania uhuru wa Afrika Kusini chini ya Chama cha ANC iliyokuwa Dakawa Morogoro, ilikuwa tayari imepika wapiganaji wa kutosha walioitwa Umkhonto-Wesizwe, ambapo...
  9. Lijue chaguo la Samson kwenye jeshi la Israel “the Samson option”

    Hii Ni sera ya kiulinzi ya taifa la israel na jeshi lake ambayo inasisitiza na kutamka wazi kuwa ikiwa Israel itashambuliwa na aui na hapohapo marafiki zake wakubwa kama USA uk German Italy France na Canada hawatamsaidia wakiona taifa la Israel linakaribia kuangukia mikononi mwa adui huku rafiki...
  10. Maamiri Jeshi Wakuu Ndani Kombati Rasmi Za Kijeshi

    Wadau. Tafadhali fungua kiambatanisho.
  11. Masauni aliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vyama vya msingi waliotoroka na bilioni 1.2 za wakulima wa korosho

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Newala baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Aziza Mangosongo. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni...
  12. Wajibu wa Jeshi la Polisi katika Chaguzi za Kidemokrasia

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalinda Haki za Binadamu za kila mtu katika nchi hii. Hii inajumuisha haki ya kupiga kura, uhuru wa kujieleza na uhuru wa kujumuika. Chaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia. Wananchi wote bila ubaguzi wana haki ya kuamua na kuchagua viongozi na...
  13. Taarifa kuhusu uzinduzi wa huduma ya tiba ya Dialysis Hospitali Kuu ya Jeshi

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika jitihada za kuboresha huduma ya Afya linatarajia kuzindua Idara mpya ya huduma ya Tiba ya Dialysis katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo. Shughuli za uzinduzi huo zinatarajia kufanyika kesho Jumatano tarehe 23 Oktoba, 2019 kwenye Hospitali...
  14. Mkusanyiko wa vitabu vya seal team six epubs

    SEAL (Sea Air Land) Team Six ni kikosi maalum cha Marekani katika kupambana na majanga ya kipekee. SEAL team Six hupitia mafunzo magumu mno, hapa naweka vitabu vya kuhusu Seal Team Six. NAONA JF HAIKUBALI MATERIAL YA extension ya EPUB. Mkuu Invisible na Maxence Melo tuongezeeni hii kwenye JF ...
  15. Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…