Baada ya kuwashindwa Al-Shabab, jeshi dhaifu la Kenya lageukia Raia

kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,092
2,126
Teen boda boda rider shot dead by navy soldier in Mombasa

A 19-year-old boda boda rider was on Wednesday morning killed by a Kenya Navy soldier in Mtongwe, Mombasa.

Leonard Komora was gunned down at around 6.45am outside the Kenya Navy staff quarters under unclear circumstances.

The young man was allegedly killed for trespassing, according to the police.

"The report we have is that the rider was shot at for trespass. We have started further investigations," said Likoni Sub-County Police Commander Jane Munyoki.

According to boda boda riders who work with the deceased, Komora had gone to pick a customer at the soldier's residence.

"The only customers that we usually pick are the soldiers themselves, but we usually suffer at the hands of these people," said Mr Ali Khamis who knew the slain rider.

The deceased's mother, Martha Njeri Munene, protested after she was blocked from viewing the body of her only son.

Ms Munene was kept 500 metres away from the scene as police processed the scene.

"This is unfair. They have killed my son for no good reason. He was my only son. He was the one providing for me," said Ms Munene as she wept in pain.
 
Haaa komora kauliwa du! Tutapata wapi komara mwingine jf

Unafikiria KAF ni kama hawa security guards wenu.Nyie mnaishi kwa 1960's "Ati tulishinda Idi Amin".Try once
 
Ficha upumbavu wako hebu jaribu kuchukua nafasi ya huyo mwanamke mwezio ambae mtoto wake tegemeo kauliwa haliyakuwa hakuwa hata na silaha
 
Komando la kikenya MK254 njoo ujitetee huku

Asante kwa kuniita ila sijaelewa mantiki au maudhui ya mwandishi wa huu uzi, maana kichwa cha uzi hakiendani na taarifa, au labda tafsiri yangu.
Ina maana wanajesh huku kwetu wanapiga raia na nyie huko kwenu mumewageukia wanajeshi na kuwafanya makubwa, hebu ona hii picha...

abakwa.JPG
 
View attachment 1267914
Yani JWTZ wanabakwa na wanabodaboda
 
Back
Top Bottom