Wakuu habari za asubuhi. Naomba msaada wa ushauri.
Nina binti yangu yuko form four mwaka huu, ndo wanafanya mitihani, anasoma science na arts pia, sasa yeye anatamani kuwa mwanajeshi na Mimi sina uelewa na nini kifanyike ili ndoto yake itimie.
Kwenye self forms wanazotakiwa kujaza ajaze nini...