jeshi

  1. S

    Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

    Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk. Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi...
  2. Jeshi la Uganda limegundua kambi ya mafunzo ya Wanamgambo wa Kiislamu

    Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia. Mamlaka zinalaumu wapiganaji wa ADF walijichimbia katika misitiu ya Kongo kwa mashambulizi ya milipuko...
  3. S

    Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani anasema hakuna njia yoyote ya kijeshi itayoifanya Ukraine iishinde Urusi vitani

    Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani ambaye amewahi kupigana vita nne tofauti anasema kuwa tuache kupumbazana, kudanganya na kupeana matumaini hewa, kiuhalisia hakuna njia yoyote ile ya kijeshi ambayo Ukraine inaweza kutumia kuishinda Urusi kwenye vita vinavyoendelea Ukraine...
  4. Kamanda wa Anga Jeshi la Iran afariki kwa ajali ya Gari. Je, ni kazi ya Mossad?

    JUST IN: Iranian Air Force IRGC officer killed in a car accident during a mission. Is the Mossad behind it? I guess we will never know.
  5. Waingereza wawili na Mmorocco waliokamatwa na jeshi la Urusi wahukumiwa kifo

    Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti. Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco...
  6. Nafasi za kazi 1241 Jeshi la Magereza

    Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022. Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022 --
  7. Raia wa US akiri kufundisha Jeshi la Wanawake wa IS

    Mwanamama Allison Fluke-Ekren raia wa marekani amekiri kushiriki katika kutoa mafunzo kwa jeshi la wamawake wa IS. Iwapo atatiwa hatiani anaweza kufungwa hadi miaka 20 jela FUATILIA HAPA US woman admits to training all-female IS battalion AUS woman has confessed to leading an all-female...
  8. Ndugu wa Mwanamke aliyedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu Mburahati walifungulia kesi Jeshi la Polisi

    Ndugu wa mwanamke anayedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu jijini Dar es Salaam wameliburuza mahakamani Jeshi la Polisi na Hospitali ya Taifa Muhimbili wakitaka uchunguzi wa kina kuhusu tukio hilo. Stella Moses (30) alifariki usiku wa Desemba 20, 2020 akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi...
  9. Mtwara: Maafisa 7 wa Polisi wafikishwa Mahakamani, shtaka laahirishwa hadi Juni 16, 2022

    Shtaka la Maafisa saba wa Jeshi la Polisi wanaotuhumiwa kumuua mfanyabiasha wa madini, Musa Hamisi, aliyekuwa mkazi wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi limesomwa leo Juni 16, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara. Watuhumiwa wote walifikishwa Mahakamani hapo ambapo shtaka lao limepangiwa...
  10. Naombeni elimu kuhusu Jeshi la Uhifadhi Tanzania

    Katika pita zangu mitaani kulikuwa na hoja mbalimbali za majeshi nikasikia kuna jeshi jipya la Uhifadhi nchini lenye vikosi ndani yake, swali kwa nini lilianzishwa? Je, nini majukumu ya jeshi hilo? Nani Mkuu wa Jeshi hilo? Muundo wake ukoje? Wachambuzi na wajuvi wa mambo ya kijeshi nijuzeni...
  11. Kanali wa Congo (DR) apigwa risasi ya mguu

    Check majigambo ya Colonel hapa then baada ya kukutana na moto🤣🤣🤣🤣
  12. USHAURI: Jeshi la Polisi lifungue uzi maalumu hapa JamiiForums

    Ninaliomba Jeshi la Polisi liweke uzi hapa jukwaani ili wapokee maoni mbalimbali ya wananchi.
  13. L

    Jeshi la Ethiopia lasema washukiwa 233 wa uasi wajisalimisha

    Jeshi la Ulinzi wa Taifa la Ethiopia (ENDF) limesema kuwa washukiwa 233 wa uasi kutoka kikosi cha ukombozi wa Oromo (OLA) wamejisalimisha katika siku za karibuni. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari ENDF limesema, washukiwa wengine watano wa uasi wa OLA wamekamatwa na wengine 44...
  14. L

    Mapambano makali kati ya jeshi la DRC dhidi ya kundi la M23 yaanza tena

    Msemaji wa FARDC Kanali Ndjike Kaiko amesema mapambano makali kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Kundi la waasi lijulikanalo kama “The March 23 Movement” (M23) yameanza tena mapema jana huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Kanali Kaiko amesema FARC ilianza kufanya...
  15. H

    Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  16. Serikali na Jeshi la Polisi kuweni Makini na Mnaponunua Risasi zenu. Hatari ipo kwetu

    Inaonekana hizi risasi zinazotumika kwenye silaha zetu nyingine ni fake au zina tatizo flani. Mara kadhaa imetokea Polisi wanapiga Risasi Juu kutawanya watu. Yenyewe inakata kona na kwenda kumfuata mtu aliye chini. Kuna haja Serikali iangalie hizi zinatengenezwa wapi. Isije ikawa ni za Kichina...
  17. Burkina Faso: Wanajeshi 11 wafariki katika shambulio kwenye Kambi ya Jeshi

    Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo. Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
  18. Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba Wizara kutazama upya nyimbo za hamasa zinazoimbwa jeshini wakati wa mazoezi kuwa ziwe za kuhamasisha...
  19. Arusha: Vinara waliokamatwa na gunia 15 za Mirungi wachomolewa usiku wa manane Polisi

    Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
  20. Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

    Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani. Na tunawaona kila siku jijini Dar. Picha hii ni leo Mwenge DSM. Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini. Picha ya close-in kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…