jeshi

  1. Mowwo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi mpya umeibuka jiji la Makonda Arusha ukihusisha jeshi la polisi. Mamlaka naomba zichukue hatua

    Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi. Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu wawili walikuwa maeneo ya Njiro, Kata ya Lemara, mtaa wa Korongoni wakitembea kuelekea barabara ya East...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

    Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waasi wa M23 walikusanya miili ya wenzao na kuitia moto ili kuficha...
  5. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa SADC kuligeuza jeshi lake liwe la kulinda amani DRC badala ya kupigana ndicho kinachofanya M23 na Rwanda waonekane kama wana uwezo mkubwa

    Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo DRC,ambayo ni nchi mwanachama ili kusaidia kurudisha hali ya amani eneo la mashariki DRC. Jeshi la SADC...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Source : DW Swahili leo mchana. Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma. Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo...
  8. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya General Antoine Byangolo Ngondo wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?

    Brigedia General Antoine B. Ngondo; ni mmoja wa wanajeshi wa ngazi ya juu, waliokuwa mashariki ma nchi hiyo, wakati vita vya jeshi la nchi hiyo na kundi la waasi la M23 vimeshamiri. Baada ya kuzidiwa na waasi, wenzake waliondoka na boti kuelekea Bukavu,kupitia ziwa Kivu. Kwa bahati mbaya...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wa jeshi DRC wameamua kuasi?

    Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda. Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Goma: Jeshi la Mamluki kutoka Romania wajisalimisha Rwanda

    Jeshi la kukodiwa la kutoka Romania, wameona moto uliukuwa unatembezwa na M23 na RDF, na kuamua kujisalimisha kwa UN, ambapo, waliombewa kuingiwa Rwanda kwa mipango ya kusafirishwa na kurudi kwa Romania...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

    Source: VOA Radio. Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali. Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23. Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania...
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jeshi la kongo au watu wakongo hawapigani kama Hamas au Wavietnam? Ni dhaifu kiasi hicho? woga au ni kukosa imani

    Kushinda vita siyo Nguvu,siyo silaha,Siyo technology! Kati ya kitu ambacho kinahitajika kwene mapigano yyte yale n SPIRIT /IMANI. Imani yakutoshindwa, Imani ya kutoa kila ulicho nacho kupigana Imani ya kutumia mbinu zote ulizonazo. Najua wajuaji watabisha ila NIAMININI MM! Kati ya vitu hatari...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Hivi wanajeshi wa Congo wanajielewa kweli? Yaani wameiacha nchi yao wamekimbilia Rwanda kujificha?

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Nimechoka kabisa jeshi la nchi limeikimbia nchi na kuwaachia wananchi msala Wanajeshi wa kongo wamekimbilia Rwanda na kupokelewa kama wakimbizi hii ni hatari sana aisee SAYUNI BOY
  14. errymars

    JamiiForums Tanzania Trump Kutia Saini Agizo linalokataza Waliobadili jinsia kutumikia Jeshi la Marekani

    Kulingana na ripoti ya kipekee kutoka gazeti la New York Post, utawala wa Trump unadai kuwa wanataka tu watu wenye uwezo wa kuhimili mahitaji makubwa ya kimwili ya huduma hiyo. Soma Pia: Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke Ripoti...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  16. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za jeshi letu JWTZ kutokutoa kichapo kingine kwa M23, kama tulivyotoa mwaka 2013 hadi 2014

    Niaje waungwana Kwanza kabla ya kuelezea sababu za jeshi letu kutokutoa kichapo kwa M23, naomba kwanza nianze kuwapa historia tukufu ya jeshi letu la JWTZ au TPDF kwa nchi mbali mbali za Africa na Dunia kwa ujumla. JTWZ chini ya baba wa taifa letu hayati mwl. Julius K. Nyerere ndio iliyoongoza...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 7 wa jeshi la South Africa wameuliwa na kikosi cha M23 huko Goma.

    Wemefariki wakiwa wanaitetea Goma. M23 walijaribu kuwafanyia mashambulizi kwa siku 2 ila hawakufanikiwa kusogea zaidi. Hongera na rest in peace kwa mashujaa hawa
  18. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

    🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma: "Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa...
  19. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tashtwiti Kuandika Juu Ya Usalama Barabarani Na Jeshi Letu La Polisi

    Wanabodi Habarini... Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha. Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
Back
Top Bottom