jeshi

  1. KingPower

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana, Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Police kamateni viongozi wa LBL ofisi zote nchi nzima mikoa yote kabla pesa hazijatoroshwa nchini

    Hawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa. Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168. Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo. Ukiingia google ukasearch scarm company imo so iliwezekanaje hawa wahuni kupewa vibali vya kufanya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi wa Kura, Uvunjaji katiba, Covid 19, Jeshi na Jeshi la Upendeleo Vyote vinafanywa na CCM

    Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm inalazimisha watumishi wa serikali kuwa wao ni waajiriwa wa CCM hivyo lazma kiwatumikie, Vivyo hivyo...
  4. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Jeshi la S.A kurudi kwao, kupitia Kigali

    Baada ya AFC/M23 kuomba serikali ya Afrika kusini kuondoa wanajeshi wake, na nchi hiyo ikakataa, hatimae ombi la M23 limekubaliwa, na njia pekee iliyotolewa(corridor) ikiwa ni Rwanda, jumapili ya leo, Februari 23, 2025, wanajeshi hao watasafilishwa kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe, uliopo...
  5. Soul21

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa heshima, Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam. Mpendwa Kiongozi, Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Daladala T 474 CQB ya Kigamboni Mwasonga-Kibada linatumia mafuta yaliyo kwenye kidumu ndani ya gari

    Gari la Kigamboni mwasonga to Kibada linatumia mafuta ndani ya kidumu cha gallon ndani ya gari, hata likiingia sheli wanaweka mafuta kwa ndani. Hii ni hatari kwa usalama. Gari hili linafanya route kati ya kigamboni mwasonga mpaka kibada lakini kwa mbele limeabdikwa emereti Nilishituka...
  7. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  8. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Col MAKANIKA auwawa na jeshi la FARDC

    Pichani, ni aliekuwa kiongozi wa kundi la wapiganaji TWIRWANEHO(TUJIRINDE), la wanyamulenge huko Kivu kusini. Ameuwawa akiwa na wenzie wa 5,wanaosemekana kuwa walinzi wake, katika shambulio la drone, lililoandaliwa na jeshi la serikali ya Congo, FARDC. M23, kwa sasa inaelekea katika maeneo ya...
  9. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC, kuomba michango ya kusaidia jeshi lake.

    Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa kulisaidia jeshi la serikali huko mwashariki mwa nchi, kutokana na alichokiita vita vya kukabiliana na uvamizi.
  10. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Afrika Kusini, halina kazi tena DRC, liondoke tu

    Msemaji mkuu wa kisiasa wa AFC/M23, Lawrence Kanyuka, ametangaza kwamba, wanajeshi wa Afrika Kusini waliopewa hifadhi katika kambi ya MONUSCO huko Goma, walitakiwa kuwa kwao kwa sasa, kwa sababu haoni wanachokifanya huko. Na aliongezea kuwa, muda ndo sasa, na AFC/M23 wapo tayari kuwapa njia ya...
  11. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uganda, UPDF, laingia nchini DRC

    Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe, ndo kuna kundi la waasi wa Uganda wajulikanao kama ADF. Haya, ngoja tuone DRC mwakani itakuwaje...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je, majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini yameshidwa na M23?

    Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23? Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu. Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamkamata Luteni Feki Wa Jeshi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni. Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Emmanuel Sulwa Mapana akiwa na sare za Jeshi zenye cheo cha Luteni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni. Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi yagundua vifaa vya mawasiliano yaani pagers zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kichina kuwa zimetegwa vilipuzi ndani yake

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Rwanda lashambuliwa na FARDC

    Jeshi la wanamaji(marine) la Rwanda, lilokuwa linafanya dolia katika ziwa Kivu, karibu na kisiwa cha Idjwi, limeshambuliwa na jeshi la DRC lililopo katika kisiwa cha Idjwi. Ilikuwa mida ya saa moja asubuhi ya leo. Taaraifa za mwanzo zinasema boat yao imeharibiwa. Kwa mujibu wa raia waliopo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawasaka waliofanya mauaji Ngara

    Wananchi wa tarafa ya Nyamiaga Kata ya Murukulazo Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera wameaswa kutokukichukulia sheria Mkononi na badala yake kuzifikisha changamoto zao katika mamlaka husika huku akiweka wazi kusakwa kwa wote walifanya mauaji ya mwanchi katani humo. Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuchezea mpira kwenye kambi ya Jeshi yenye ulinzi mkali kumetuangusha Yanga, tunashindwa kuingia uwanjani usiku kufanya mila na tamaduni

    Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani... Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania TANZIA SACP Beatus Silla wa Polisi Makao Makuu hatunae tena

    Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi. Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile...
  20. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu si yo la vibaka

    https://x.com/wembi_steve/status/1887483008644530453 Kama kuna mtu anakaa kwenye nyumba ambayo si yake;na si ya serikali kama kuna mtu anatumia gari lisilo lake,tunamuomba alikabidhi. Mpaka sasa, magari 14 yamesharudishwa mikononi mwa wenyewe. Jeshi letu ni la kitaalam, hatuwaibii watu.
Back
Top Bottom