Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana
Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi...
Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
barabara
gwajima
jeshijeshi la polisi
kulinda
maji
makazi
mali
polisi
raia
uchimbaji
ujenzi
ujenzi wa barabara
usalama
usalama wa raia
visima
visima vya maji
wajibu
askari
askari polisi
ccm
diwani
dola
halmashauri
hata
hawataki
ibada
jeshijeshi la polisi
katiba
katiba mpya
kuzuia
kwenda
mpya
muhimu
mungu
polisi
rais
rais samia
samia
simu
uenyekiti
ufufuo na uzima
ushahidi
wanandoa
waumini
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa
Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo
Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
Iran International: Iran yadai Israel ilitumia sayansi ya uchawi wa majini kwenye vita dhidi yake kwa ajili ya ujasusi Afisa wa mwandamizi Jeshi la Iran amedai kuwa Israel ilisambaza roho za uchawi na miujiza katika vita vyake na Iran, jambo lililozusha kejeli na mjadala...
Kutoka BBC Swahili
10 Julai 2025
Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping na baadhi ya viongozi wa kijeshi.
Makala katika gazeti la The Telegraph la Uingereza inaonya juu...
Wakuu!
Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
Kwa chadema kuongea na wananchi pale kariakoo ilikuwa nikukwamisha shughuri za kibiashara japo ilikuwa mkutuno hauzidi Nusu saa .
Ila timu inafanya parade zaidi ya sa 3 na kufunga barabara kariakoo sio inshu kabisa kwenu ..
Doubla standards za hovo kabisa
Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !!
Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!.
Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka.
Haya sasa, taasisi ya dini yenye heshima kabisa, imeungana na Jeshi la Polisi kwamba sheikh alijiteka.
Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo.
Video: Jambo TV
Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa wao kukamatwa na kufafanua vizuri mahakamani...
Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu...
PART 1
Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
Kama hukuwahi kufahamu sababu ya kambi ya jeshi ya LUGALO, iliyopo jijini Dar es Salaam, kuitwa hivyo – basi leo nakufahamisha. Watu wengi huamini kuwa kambi hiyo ilipewa jina hilo tangu mwanzo, lakini si kweli. Jina la "LUGALO" lina chanzo chake ambacho si Dar es Salaam, bali ni sehemu maalumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.