Yule mwingereza mtanzania mwenye ngembe, nyodo, majigambo, majivuno na madharau ya hali ya juu naye inabidi atembelewe mbweni
Asije kabisa tarehe 15 nov kwenye mnada wake wa vyuma chakavu.
100 others Shammy-
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha".
Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao...
halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu...
Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
Hayawi hayawi yanakuja kuwa.
Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia.
Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu.
JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu:
1. JWTZ ni majuha.
Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana.
UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda.
Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi.
Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake
kwa hivyo...
1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi.
2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
Samia Suluhu Hasani amesikika mara nyingi akijitambulisha kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi Mkuu” wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama; mimi swali langu, je kuna Amiri Jeshi “mdogo”???
Bi Mkubwa anaielewa vyema hiyo hadhi anayojitanabaisha nayo kila wakati? Au mahali hapa ndipo tatizo la elimu mbalimbali...
Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo.
Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
Upumbavu unaoendelea kwenye Taasisi za Umma umefikia kiwango cha kutisha hakika.
Watumishi wa Umma, badala ya kujikita kulitumikia Taifa ili Wananchi wawe na maendeleo sasahivi wamegeuka kuwa vijakazi na watumwa wa CCM. Kuwahudumia CCM badala ya kulihudumia Taifa.
Vitendo vilivyofanywa na...
Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea?
Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti...
Salaam!
Hivi Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa kisiasa kusikizwa sera za wagombea Ili azichambue na kuchagua wa kumpa kura kuridhia kuongozwa na chama na mgombea husika,
Swali no 1.
Mwananchi akisikia mgombea akijinadi kuwa Yeye ni Amiri J Mkuu, atapata picha gani kichwani? Kura yake yaweza...
Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyo zubaa. Yaani kama huwezi kulinda watu na ndiyo kazi yako hata kama una ndege ya kivita kama ndugu yangu anatekwa na watekwaji ambao wanajulikana hawafanywi kitu maana yake majeshi yetu sasa hayana maana.
Haki zetu zimebaki kwa nguvu zetu...
Halula! Yadunia yanachosha.. wewe darasa la saba, yule mwingine forum four faliya. Wadhani kuunga maandamano ndio mishahara utaongezwa sio! Hata ungekuja utawala wa Mansa au yule sultan bado ungepokea kidogo pengine kufurushwa kabisa. Na bado!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.